Hivi ni kweli mambo haya 6 yapo kwa wanawake?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,434
2,000
1. Hivi ni kweli - Mwanamke akipenda anapenda kweli?
Hawezi kukusaliti hata akutane na wataalamu wa swaga / wenye ushawishi na wenye pesa? Hata akiwa na shida ya sex au pesa kiasi Gani?

2. Hivi ni kweli kwamba Mwanamke hamsahau Mwanaume aliyemvunja bikira? - Inaamaana mpaka atakapokuwa bibi kizee?

3. Hivi ni kweli mwanamke aliyeolewa akiamua kuchepuka kwa Siri HUWEZI kumgundua?

4. Hivi ni kweli mwanamke akifikishwa kileleni hupata raha zaidi ya Mwanaume?

5. Hivi ni kweli - wanawake ambao ni wife material wengi ni wa kawaida / wabaya?

6. Hivi ni kweli - Wanawake weusi ni watamu kuliko Wanawake weupe?

HEBU NAMBIE, LIPI NI KWELI HAPO KWA MUJIBU WA TAFITI / UZOEFU WAKO.

Au ongeza swali ambalo nawe unalitilia wasi wasi kuwa HIVI NI KWELI??

#mzeewakasumba
 
Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
1,864
2,000
Hzo story za kusema mwanamke akipenda anapenda kwel ...nafkir zina ukwel wake .Angalia walivoamua kuipenda pesa ..Yan popote kwenye pesa mwanamke Yuko tayari kufanya lolote

Mapenzi yao wamehamishia kwenye pesa na wanaipenda kwel kwel ..

Pesa imefanya hayo mengine .sijui aliyemtoa bikra, sijui kufikishwa kileleni na mengine yawe yakawaida tuu

Kitu pekee ambacho mwanamke hawezi kukisaliti hata uende na Nini ni Pesa peke yake ...Hvyo vingine n story za vijiweni

Wahuni tutafuteni Hela Kwa nguvu zote pia tusisahau kumtanguliza Mungu na Kulinda Afya zetu
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
9,122
2,000
1. hivi ni kweli wanawake wanapenda pesa ? Ndiyo
.......
6. hivi ni kweli wanawake wanapenda pesa ? Ndiyo
 
Dolla_Mbili

JF-Expert Member
May 28, 2017
575
1,000
Hawa viumbe hawajawahi kutuacha tukapumzika yani

Kila uchwao watu wanafikiria kuhusu mwanamke na namna ya kumfanya aridhike, na naamini hata mleta mada Kuna kitu anatamani kujua ili afanye kilichobora zaidi inapobidi

Ngoja waje wanawake wanajijua vizuri zaidi maelezo yao yatakua mazuri zaidi
 
CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,555
2,000
2851775_2783640_2765206_20210506_215437.jpg
Napita tu.
 
Itovanilo

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,206
2,000
Tatizo unachanganya vitu viwili tofauti
Mapenzi na Tamaa

Mwanamke anaweza kukupenda lakini akawa na Tamaa na mwanaume mwingine aidha kipato chake

Ambapo ukimwambia demu wako akuazime 200k ya fasta anakupatia,si anakupenda?

Jua hadi Leo hii Kuna wanaume wanahongwa

Kubali au kataa ndivyo ilivyo,lakini pia wapo ambao gauge yao ya uchumi ikishuka kwa 0.01% basi mapenzi huishia hapo

All men tutafute pesa,oohoooh
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
3,232
2,000
1. Hivi ni kweli - Mwanamke akipenda anapenda kweli?
Hawezi kukusaliti hata akutane na wataalamu wa swaga / wenye ushawishi na wenye pesa? Hata akiwa na shida ya sex au pesa kiasi Gani?

2. Hivi ni kweli kwamba Mwanamke hamsahau Mwanaume aliyemvunja bikira? - Inaamaana mpaka atakapokuwa bibi kizee?

3. Hivi ni kweli mwanamke aliyeolewa akiamua kuchepuka kwa Siri HUWEZI kumgundua?

4. Hivi ni kweli mwanamke akifikishwa kileleni hupata raha zaidi ya Mwanaume?

5. Hivi ni kweli - wanawake ambao ni wife material wengi ni wa kawaida / wabaya?

6. Hivi ni kweli - Wanawake weusi ni watamu kuliko Wanawake weupe?

HEBU NAMBIE, LIPI NI KWELI HAPO KWA MUJIBU WA TAFITI / UZOEFU WAKO.

Au ongeza swali ambalo nawe unalitilia wasi wasi kuwa HIVI NI KWELI??

#mzeewakasumba

Hapo yenye ukweli ni hiyo namba 6 tu zingine zote pumba. Kidogo na namba 4 pia ina uhalisia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom