Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

Kuna ukweli. Maana kitambo sana mimi nilibahatika kubanjua hiyo kitu. Hadi sasa huwa tunakumbushia enzi zetu na sababu kubwa anayoitaja dem ni hiyo ya kufungua hicho kibox.
 
Mie nliemtoa hadi leo hataki hata kunisikia...maana nlimtoa halafu nkam cheat kama kawa..basi ananichukia kama njaa
 
Back
Top Bottom