Je, ni kweli mwanamke anajifunza kupenda?

Je, ni kweli mwanamke anajifunza kupenda?

Mambo ya moyo na upendo yanaweza kutofautiana kwa kila mtu na kutegemea uzoefu wa mtu binafsi. Si sahihi kusema kuwa wanawake wote hujifunza kupenda baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanaume wasiowapenda...
Hapo swali linakuja, imetokea mwanamke umeingia kwenye ndoa ili upende baadae je, n kweli utapenda? Au ile feeling na acception yako Kwa mwanaume Kwa mala ya Kwanza kumuona inaumuhimu?
 
Yaani mwanamke kama hakupendi kutoka moyoni mwake ni hakupendi tu hata ufanyeje labda ukubali maigizo yake ya kujifanya anakupenda ila hawezi kubehave hivo siku mingi lazima atakuacha tu endapo uvumilivu ukimshinda au hela zikikuishia kama alikua after money..
Aiseee ,hii naweza kuiamini ,Sasa vp kuhusu issue ya kujifunza kupenda hua haitakiwi au?
 
Hes
Yaani mwanamke kama hakupendi kutoka moyoni mwake ni hakupendi tu hata ufanyeje labda ukubali maigizo yake ya kujifanya anakupenda ila hawezi kubehave hivo siku mingi lazima atakuacha tu endapo uvumilivu ukimshinda au hela zikikuishia kama alikua after money..
Yaah sure..heshima yao wanaokubali kuolewa na mtu coz ya kitu,kuigiza sio kazi ndogo oooh
 
Mambo ya moyo na upendo yanaweza kutofautiana kwa kila mtu na kutegemea uzoefu wa mtu binafsi. Si sahihi kusema kuwa wanawake wote hujifunza kupenda baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanaume wasiowapenda.

Upendo ni hisia ngumu na ya kibinafsi ambayo hutofautiana kwa kila mtu. Wakati mwingine, watu wanaweza kugundua hisia za upendo zinapoendelea kwenye uhusiano, na wakati mwingine hisia hizo zinaweza kutokuwepo kabisa.

Ni muhimu kwa kila mtu kuwa wazi na mwaminifu kwa hisia zake na kuweka mipaka inayofaa kwa mahusiano yao.
Umeandika kama moja ya mada muhimu kwenye gazeti la mwananchi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji106]
 
Back
Top Bottom