Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 161
Habari, nauliza hivi mwanamke akiwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hampendi hata kidogo Kwa lengo la kumpenda baadaye.
Je, atajifunza kupenda kweli? Na je, ikitokea hajampenda hata baada ya kuingia nae kwenye ndoa maisha yatakuaje? & Eg Kwa wanaokuwa na mahusiano baada ya kuona kitu fulani Kwa mwanaume Kama pesa e.t.c ndy waliojifunza kupenda or.
Wenye michango na mawazo juu ya hili naomba ufafanuzi plz maana sijawai kulielewa hili neno la (kujifunza kupenda).