Je, ni kweli msichana anaweza kujua kuwa ana mimba ndani ya siku nane?

Hapana nimekwambia ntapita nichukue tukacheki hospital na sijataka kupaniki
Mkuu kwanzia siku 14.
Sasa kama mimba ilingia siku 14 zilizopita ukienda kupima ataonekana tu.
Wewe mwambia tuu Hio mimba sio yangu umenibambikiza tuu , mtoto akizaliwa Tunaenda kupima DNA.

Kwa hio issue yako uwezokano wa mimba kuwa sio yako ni mkubwa mkuu.
 
Jamani ndungu zangu wiki iliyopita ilikuwa Weekend baada ya kupiga vitu kidogo kuna demu nilikuwa namuelewa hivyo kuna hatua tayari nilikuwa nimepiga kwake hivyo tulikua na mawasiliano na ukaribu kidogo

Kwa hiyo siku hiyo baada ya kupiga vitu jioni hivi kama saa mbili nikawa narudi home ghafla simu ya huyu demu ikaingia nikapokea ile baada ya salamu aliuliza uko wap nikamwambia ndio narudi home hata hivyo yeye anakaa jirani na barabara ninayopita hivyo nikamwambia nikifika maeneo hayo nitakwambia ili nikupe hi kajibu poa

Sasa baada ya kufika nikajikuta tumeongea na kuondoka wote mpaka geto aisee na nikamla aisee dah Leo imepita siku kama nane hivi demu anasema ana mimba.

Sasa nauliza kweli mtu anaweza kujipima mimba ya wiki au siku nane , tisa akajua au huyu demu ananiletea mauzauzaa kabla sijaenda mchukua kumpeleka hospital
Ushayatimba....
 
Dah wait nimsubir mpk kesho nikiona anakazania nampeleka hospital then nione inamuda gani
Mkuu ukienda hospital utaambiwa mambo mengi watakwambia hormones imbalance na mambo mengine.
Mbususu za Bure ndo shida hio.

Wewe Mueleze tuu ukweli kwamba hio mimba kunauwezekano ikawa sio yako, kuwa muwazi usifiche
Mwambia sina imani hio kabisa,
Mtoto akizaliwa tutafaanya Michaelson ya DNA.
Japo DNA za bongo Uwezekano wa kupewa dogo ni mkubwa.
Maana wanangalia ustawi wa mtoto tu.

Take care bro.
 
Issue sio kutoa ila kutaka kujua ni kweli ni possible msichana amejipima na kukuta mjamzito kwa mda huo
Yes. Nina uhakika 100% na jibu langu. Ila siyo wanawake wote. Inategemea. Mimi nilikuwa na wangu mimba ikiingia siku ya tano tayari anaonyesha mabadiliko. Kutapika sana sana. Pia kuwa na emotion. Narudia tena... siyo wanawake wote wenye reaction ya aina hiyo.
 
Mimi nashangaa wanaume wengine sijui wapoje yani unawasisi kuhusu mimba sio yako au mtoto sio wako afu unakaa kimya.

Kuna jamaa mmoja alikuta mtoto wa mwisho wake anafanana na na jamaa aliyekuwa workmate wa mkewe. Alifuatilia mpk mawasiliano, akakuta wanawasiliana kawaida tuu na sio mapenzi ,Afu anasema sijawahi kuhisi kama anachepuka wala kugombana.
Ila mtoto kafanana na jamaa.

Naye kakaa kimya hata ajamwambia mkewe wala nini eti anaogopa mahusiano na mkewe kuvunjika.
😂😂😂 yani unakaa na wasiwasi mda mrefu wakati unaona umepigwa hapa.
Kweli wanaume tupo wachache sana.

Mtu anasema tunalinda ndoa
FLUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Kwani ndoa ulizaliwa nayo.....??


TUACHE KUAMINI WANAWAKE HATA WAKE ZETU WAKISEMA MIMBA YAKO AU MTOTO WAKO HUYU TUACHE KUAMINI KAMA MTOTO AJAFANANA NA WEWE.
 
Back
Top Bottom