Je ni kweli mpinzani wa kweli wa CCM atatoka CCM au ni fix tuu?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kuna msemo usemao mpinzani kweli atatoka ccm lakini hebu tujiulize ivi ni kweli au sio kweli maana nimejikuta najiuliza yafuatayo

1.mrema na kundi lake walihama ccm na kuhamia nccr kisha mrema kugombea uraisi akiwa kama mpinzani mkuu lakini mwisho wa siku Leo hii yupo wapi

2.lipumba alihama toka ccm na kundi lake kugombea kupitia cuf akiwa kama mpinzani mkuu kuja upinzani akagombea uraisi akiwa kama mpinzani mkuu Leo hii yupo wapi

3.dk slaa alitoka ccm na kundi lake na kuhamia chadema kisha hapo badae akagombea uraisi kupitia upinzani mwisho wa siku Leo yupo wapi

4.lowassa alihama toka ccm kisha akahamia chadema na kugombea uraisi 2015 akiwa kama mpinzani mkuu lakini mwisho wa siku Leo hii yupo upande upiii.....

5.sasa 2020 kuna MTU na kundi lake nahisii nawaona kuja kugombea kupitia chama (XXX) akijinasibu kama mpinzani mkuu lakini je mwisho wa siku itakuwaje je ni yaleyale ?

Je
 
Kwani kabla ya mfumo wa vyama vingi walio wengi walikuwa wanachama wa ccm ambao leo ndio hao wako upinzani
 
Kuna msemo usemao mpinzani kweli atatoka ccm lakini hebu tujiulize ivi ni kweli au sio kweli maana nimejikuta najiuliza yafuatayo

1.mrema na kundi lake walihama ccm na kuhamia nccr kisha mrema kugombea uraisi akiwa kama mpinzani mkuu lakini mwisho wa siku Leo hii yupo wapi

2.lipumba alihama toka ccm na kundi lake kugombea kupitia cuf akiwa kama mpinzani mkuu kuja upinzani akagombea uraisi akiwa kama mpinzani mkuu Leo hii yupo wapi

3.dk slaa alitoka ccm na kundi lake na kuhamia chadema kisha hapo badae akagombea uraisi kupitia upinzani mwisho wa siku Leo yupo wapi

4.lowassa alihama toka ccm kisha akahamia chadema na kugombea uraisi 2015 akiwa kama mpinzani mkuu lakini mwisho wa siku Leo hii yupo upande upiii.....

5.sasa 2020 kuna MTU na kundi lake nahisii nawaona kuja kugombea kupitia chama (XXX) akijinasibu kama mpinzani mkuu lakini je mwisho wa siku itakuwaje je ni yaleyale ?

Je
Kwa uelewa wako unaongelea mtu au watu. Upinzani ni mawazo mbadala. Au hoja tofauti. Haziyeyuki kwa risasi, mabomu au matusi. Kujaribu kuufuta upinzani ni kama paka kufukuzana na mkia wake.
 
Back
Top Bottom