Je, ni kweli Mgeja kugombea Msalala?

Je, ni kweli Mgeja kugombea Msalala?

Munamuge

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
903
Reaction score
896
Kwa habari nilizozipata kutoka kwa chanzo kisicho na shaka ni kwamba, aliyekuwa M/kiti wa CCM mkoa wa Shinyanga aliejiengua na kuhamia Chadema Bwana Mgeja ndiye atapeperusha bendera ya Ukawa katika jimbo la Msalala.
Inasemekana ni shinikizo kutoka juu, kama kweli ni hivyo basi kuna dosari. Watu wametumia nguvu, pesa na muda wao kujenga na kujijenga na hatimae wakafanya uchaguzi na kumpata mgombea wao, leo waletewe mtu wasiemhitaji kisa tu kuna maelekezo na makubaliano maalum!!!
Hapa tumepotoka, natamani iishie kuwa tetesi.
 
Mwenye maamuzi ya mwisho UKAWA ni Lowassa ndie mwenye chama,na lazima atahakikisha wapambe wake aliotoka nao CCM,wale walioangua pua kura za maoni CCM ndio watakuwa wawakilishi wa UKAWA majimboni walimoangukia pua,kweli Chadema/UKAWA ni CCM B,hapa ni nyani kabadilisha msitu tu.CCM itatawala milele Tanzania.
 
wewe inakuuma nini? hata lowasa alitumia pesa nguvu na mda lakini mlimkata
 
Hata Lowassa katumia noti zake nyingi hivyo acha marafiki zake waule kama hutaki hama chama au tumia slaa style.
 
Lengo ni kusaidia harakati za kuodhoofisha Ccm na kama wanaohama wanaweza kuwa msaada wapewe na kama ushindi unapatikana nafasi za uongozi ni nyingi sana watakujja kuteuliwa tu

Hivyo wagombea wote wa UKAWA hata wasiwe na wasiwasi.
 
Kwa habari nilizozipata kutoka kwa chanzo kisicho na shaka ni kwamba, aliyekuwa M/kiti wa CCM mkoa wa Shinyanga aliejiengua na kuhamia Chadema Bwana Mgeja ndiye atapeperusha bendera ya Ukawa katika jimbo la Msalala.
Inasemekana ni shinikizo kutoka juu, kama kweli ni hivyo basi kuna dosari. Watu wametumia nguvu, pesa na muda wao kujenga na kujijenga na hatimae wakafanya uchaguzi na kumpata mgombea wao, leo waletewe mtu wasiemhitaji kisa tu kuna maelekezo na makubaliano maalum!!!
Hapa tumepotoka, natamani iishie kuwa tetesi.

kwenye bil.10 alizotoa kununua chama zilikua na mashariti ya kuachiwa nafasi 30 za ubunge kwa ajili ya wafuasi wake... so usilaumu sana mbowe kauza chama..
 
Waangalie na jimbo la moro kusini
 
maccm yanaweweseka tu,kwan muislam akiokoka hawez kuwa mchungaj?mkanad sera zenu cdm iko makin
 
kama uwezekano wa kushinda upo hakuna shida. cha msingi ccm itoke kwanza madarakani. mengine baadae...
 
Kama ana sifa sio mbaya na isitoshe itakuwa msaada mkubwa wa kubeba viti vyote vya madiwani
 
Mhe. Maige jisalimishe Ukawa. Ubunge kwaheri ...................................................................riiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nilijua tu Mgeja hawezi kubaki ccm,
Shinyanga imenoga sasa
 
Kweli bado kuna nafasi za viongozi wa mikoa. wilaya. Kanda nk
 
mim nachoka sana,nilihitaji mabadiliko lakin siyo namna hiii,yaan kwa kutumia ccmB,ni kweli wamebadili msitu tu,tukianza na Mbowe,Seif(sawasawa),Lowasa na wengine,wote ni walewale hawawezi kuleta mabadiliko..
 
Back
Top Bottom