Je, ni kweli Mbowe ameshinda kesi? Kwamba Jaji alikuwa na uwezo wa kumkatalia DPP ili kesi ifike mwisho ni Sahihi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Bado haieleweki vema kwamba Freeman Mbowe ameachiliwa katika misingi gani haswa, ukiachilia mbali sheria iliyompa mamlaka DPP kuamua kutoendelea na kesi.

Kwa mfano, Dr Akandunduma anadai kuwa maadamu DPP aliondoa kesi mahakamani wakati ameshamaliza kuhoji mashahidi wake maana yake ni kuwa alishabaini hawezi kushinda.

Lakini wengine wanadai anayefuta kesi ni Jaji/ Hakimu siyo DPP hivyo kitendo cha Jaji kumkubalia DPP ni ishara kuwa Mbowe hakuwa na kesi ya kujibu toka mwanzo.

Swali: Je, Freeman Mbowe ndiye mshindi kwenye ile kesi ya Ugaidi?

Kwaresma njema!
 
Ndio John,hivyo tuufunge huu mjadala kwani unarejesha ukakasi wa iliyokuwa kesi mchongo🤭
 
Back
Top Bottom