M Mawele JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 936 Reaction score 3,264 May 19, 2026 #1 Nimechoka kufungwa kamba mtaani, nimekuwa nikisikia kiwa mamba hana ulimi, je ni kweli?
Sikio la muazini JF-Expert Member Joined Jun 17, 2026 Posts 248 Reaction score 469 Jun 18, 2026 #2 MAMBA HANA ULIMI NDIO
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3,003 Reaction score 7,314 Jun 18, 2026 #3 Nguvu ya Mamba Kumai kumuchanga ni kubulula
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,548 Reaction score 860,660 Jun 18, 2026 #4 Si kweli kwamba mamba hana ulimi, mamba anao ulimi mkubwa na mnene.Hata hivyo, tofauti na wanyama wengine au binadamu, mamba hawezi kuutoa ulimi wake nje ya mdomo. Mawele said: Nimechoka kufungwa kamba mtaani, nimekuwa nikisikia kiwa mamba hana ulimi, je ni kweli? View attachment 3591192 Click to expand...
Si kweli kwamba mamba hana ulimi, mamba anao ulimi mkubwa na mnene.Hata hivyo, tofauti na wanyama wengine au binadamu, mamba hawezi kuutoa ulimi wake nje ya mdomo. Mawele said: Nimechoka kufungwa kamba mtaani, nimekuwa nikisikia kiwa mamba hana ulimi, je ni kweli? View attachment 3591192 Click to expand...
K Kakumamoto JF-Expert Member Joined May 6, 2015 Posts 1,670 Reaction score 2,563 Jun 18, 2026 #5 Kila siku anaongea, you bela woch your back