Je ni kweli mahari huwa hatumalizi?

Je ni kweli mahari huwa hatumalizi?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Wakuu habari.

Hii nimekuwa nasikia sana kuwa unapoenda kutoa mahari huwa hatumalizi unatoa robo tatu ya ile uliyo pangiwa, hata mimi nilitoa nusu mpaka leo sijamalizia sijui kwa wenzangu humu.Miaka na miaka wanasema mahari haimalizwi,je ni kwanini.
 
Back
Top Bottom