Je, ni kweli kuwa walioathirika na virusi vya Corona kuchomwa sindano ya sumu?

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Salaaam wakuu
Kuna tetes kwamba china imepeleka ombi mahakaman kuomba wapewe ruhusu ya kuwachoma sindano ya sumu wote walio athirika na virus vya corona coz wameshindwa kuvizuia kusambaa na iyo ndio njia wamepata.

Source;ndugu na jamaa wanaoishi china.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja!

Waliokwisha ambukizwa kama ni kufa watakufa, hivyo jambo hilo ni bora hata kama ningekuwa mmoja wa wahanga.

MAENDELEO YANA GHARAMA ZAKE
 
Back
Top Bottom