Je, ni kweli kulikuwepo na Mandela feki?

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,504
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1598301810467.jpeg
    FB_IMG_1598301810467.jpeg
    27.1 KB · Views: 30
Unataka kutuambia hiyo clone ili ilifanyika hadi kwenye umri?

Yani huyo mandela feki alitengenezwa siku moja akapitia njia za ukusji kutoka utoto hadi kua mkubwa? au altengenezwa automatic kwa siku moja akawa ni mkubwa hakupitia stage za kutambaa hadi kutembea?

Haya mambo ndio maana hadi gucci mane akipost picha anaweka hashtag kua haters watasema yeye ni clone
 
Habari ndugu

Kuna mjadala nimeukuta sehemu kuhusu Mandela yupi Ni sahihi wapo wanaoamini Nelson Mandela aliyetoka gerezani siyo yule aliyeingia gerezani.

Ukiangalia picha hapo chini utaona Kuna utofauti mchache kwenye hizi sura mbili wapo wanaoamini kulikuwa na Mandela wa bandia sijui ninyi ndugu mnasemaje
FB_IMG_15983045427303577.jpeg
 
Vipi kuhusu Winnie Mandela , naye hakumjua mume wake alipotoka jela? , Watoto je akina makgate Mandela nao hawakujua Kama baba ni feki?

Barua iliyokamatwa ya Winnie mandela kwenda kwa hawara yake Dali mpofu, ilikuwa inaonesha kabisa ndoa ilikuwa genuine na mzee alikuwa genuine.

Xhoxas are very genuine people na walikwenda shule, kusamehe kwao sio Jambo gumu, Mandela aliwasamehe makaburu na ndio sababu hakutaka kukaa madarakani sana pia. another smart move.
 
Kwa upande wangu nipo 50/50

1. Ikiwa mandela alisamege makaburu kwa kukataa matabaka ya ubaguzi, basi amekufa akijua kuwa huu ubaguzi unaoendelea South Afrika kwa wazungu kuwa na miji yao na weusi kuwa na miji yao ni yeye ndie aliyetuachia huu upuuzi.

2. Mandela ajue kuwa huko makurini alipo leo hii waafrika wanaua waafrika wenzao huku mzungu akila bata katika nchi isiyo yake, shule za watu weupe, baa za watu weupe n.k huko ulipo kaburini huu ndo uozo ulioucha mandela hapa duniani. Sijui ni jema lipi waafrika ulilowaachia ulivyoondoka.

3. Mandela ni mnafiki na mzandiki mkubwa, ametoka madarakani ameenda kusamehe mabeberu, wakati huohuo Afrika iliungana ikatumia mali zake, wanajeshi ikiwemo JWTZ watu wakaenda kufa kule ili yeye apate uhuru, mwisho wa siku hakuna tulichogain.

4. Licha ya kuonekana walau umestaarabika ila hata Chief Mkwawa ana akili nyingi kuliko mandela, kabisa. Akina Mkwawa hawakukubali kununulika, walipigana vita na mabeberu ili kulinda heshima yao na vizazi vyao, pasipo kuwa na aibu na akili mandela ukakubali kununuliwa, ukauuza Uafrika wako na waafrika wenzako, akina Hayati Nyerere na wengine wote walikusapot kupigania uhuru kwa miaka mungi wakaonekana ni wendawazimu ila wewe ndo mwenye akili.

Umezikwa kwa heshima kubwa ya hao waliokununua ila sijui mbele za Mungu asiyenunulika utaenda kutoa maelezo gani, maana apandacho mtu ndicho avunacho.
 
Ila wazungu wanajua kutuchezea matraklo jaman.... Yan tunaacha kufikiria mambo ya msingi wao wametuletea mada ambayo inakuza kiwango Cha umbea kwenye vichwa vyetu

Alikua fek, so what?
Hakuwah fek, inawahusu nn?
 
Back
Top Bottom