BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,488
- 14,066
Hahaaa hapa inatafutwa tenda kuagiza mitambo ya dharula watu wapige pesaIPTL wamewasha mitambo yao lakini mbona mgao wa umeme uko palepale?
Hapa ninapoandika hakuna umeme Kariakoo wakati kariakoo ndiyo ikulu ya uchumi wa Tanzania
Hahaaa hapa inatafutwa tenda kuagiza mitambo ya dharula watu wapige pesa
Ila mkuu hii ina athili jamii yetu na watoto wetu pia na feature zao, tukuendelea kukaaa kimya ni hatari sanatutakoma
Bora kukaa kimya ila tunasifia na kuleta propaganda zisizo na vichwa wala miguu siku tukishituka lawama zitakwenda kwa yule yoyote ambaye atakuwa hayupo wakati huo wakati waliopo wakiendelea kufanya yao....Ila mkuu hii ina athili jamii yetu na watoto wetu pia na feature zao, tukuendelea kukaaa kimya ni hatari sana
Mkuu mimi nahitaji umeme upatikane, hata ukizalishwa na shetani,Ila mkuu hii ina athili jamii yetu na watoto wetu pia na feature zao, tukuendelea kukaaa kimya ni hatari sana
Kwahiyo wewe unatakaje??Ukiona jamii yeyote imefanya ulalamishi kuwa jadi yake ,basi hiyo ni jamii iliyo jaa wapumbavu.
Hahahaha.Kwahiyo wewe unatakaje??
Hebu jaribu na wewe kuchukua hatua... Usiishie kulalamika tu.
Anabadilishiwa na wajinga sisi tuna shangiliaMi nilijua tu!
Mgao ulianza mapema sana,,,mwezi January baada ya kipara kuwa ndiye tena mvua zilikuwa Bado zinanyesha!!
Sasa ni rasmi kipara atabadilishiwa wizara au kupigwa chini baada ya mission kukamilika!
Mungu IBARIKI TANZANIA
Mimi nilifikiri tutakoma sisi tu ambao miaka nenda hatufurahishwi na namna serikali yenu ya ccm inavyo endesha nchi kibabaishajitutakoma
Kuna taarifa naiona kwamba IPTL imewasha mitambo na ishazalisha umeme na kuingiza TANESCO, huu ndiyo uhaba uliyokuwa unatengenezwa watu wapige pesa.
Hii migao ni ya kutengeneza watu wapige pesa.
Msinichoshe nisiwachoshe, twende tuone.View attachment 2435457
Tumbili amepauka, anaimba mapambio kama kasuku,Ngoja aje aka Tumbiri