1. Hakikai kwenye ubongo kama wengi wanavyosea hapa
2. Ni mpango ambao ukombioni kufanyiwa kazi na familia tajiri (Rockefeller)
Rockefeller Admitted Elite Goal Of Microchipped Population Google
3. Lengo ni kucontrol watu lakini si kwa kukuprogram, wanalenga microchip kutumiaka kama credit card, kitambulisho na kazi zote zifanywazo digitali leo hii na vitambulisho zitajumuishwa kwenye microchip yako. So chukulia endapo hiyo ndio system ya malipo alafu jamaa wanakusaka, wanafungia tu account yako wanakuwa wamekuweza. Matumizi ya Pesa (physical) yanaondolewa taratibu.
4.Kufanikisha suala la Microchip, ni lazima kote ulipo kuwe na Internet access, na sasa tumeshaona hilo wakianza kulisolve.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-internet-ya-bure-from-space.html#post8858286