Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Mtaani kuna cd zinasambaa zinaelezea movement za freemason na mbinu ya kutawala dunia na kucontrol wanadam wote.
Wametengeneza microcheap ndogo inayowekwa kwenye kidonge ili unapomeza kidonge kinaenda ubongoni na hapo wataweza kukucontrol katika super computer yao.
je, hili linawezekana au ni uzushi.
Wametengeneza microcheap ndogo inayowekwa kwenye kidonge ili unapomeza kidonge kinaenda ubongoni na hapo wataweza kukucontrol katika super computer yao.
je, hili linawezekana au ni uzushi.