Je ni kweli form five second selection 2017/18 imetangazwa?

mbesri

Member
Joined
May 16, 2017
Posts
21
Reaction score
10
Ndugu zangu wana Jami foram kuna tetesi kuwa wanafunzi wa kidato cha tano chaguo la pili wameshatamgazwa,yeyote mwenye ukweli anijuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwenye ufahamu wa second selection 2017/2018
Zinatoka lini naomba kufahamishwa muda gani

Na je kwa ile orodha yote walioorodheshwa kwamba "wanafunzi watakaochaguliwa awamu ya pili kwenda kidato cha tano 2017/2018" wote watachaguliwa?

Msaada jamani, napenda kujua Lin zinatoka au kwenye hayo majina kuna watakao achwa tena na kwa vgezo gani naomba kusaidiwa

##nawasilisha#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 2014,2015 ,2016 zilitoka karibia na likizo fupi ya mwezi wa tisa for sure mimi nmehitimu mwaka hukuu cha 6 mwaka jana walikuja wengine kabla ya likizo hiyo mimi nilipokuwa najiandaa kupiga moko mkoa......
 
Miaka 2014,2015 ,2016 zilitoka karibia na likizo fupi ya mwezi wa tisa for sure mimi nmehitimu mwaka hukuu cha 6 mwaka jana walikuja wengine kabla ya likizo hiyo mimi nilipokuwa najiandaa kupiga moko mkoa......
shukran joh uvumilivu unaitajika kumbe hapo
 
hao watakuwa na shule zao?maana watawakuta wenzao wamefika mbali kimasomo
 
Hiyo list inapatikana wapi mkuu


papaa maglass
 
ni mwez wa tsa kuripoti before tr15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…