Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,503
Watanzania naomba tuzungumze ukweli kuhusu suala la wizi wa kura ,
Je, nikweli CCM wanaiba kura?
Tujikite kwenye hoja maana kati ya sifa mbaya zinazitumika kuichafua ccm mojawapo niwizi wa kura je ? Cccm wanaiba kweli kura?
Je, nikweli CCM wanaiba kura?
Tujikite kwenye hoja maana kati ya sifa mbaya zinazitumika kuichafua ccm mojawapo niwizi wa kura je ? Cccm wanaiba kweli kura?