Je, ni kwanini umeoa/umeolewa?

Je, ni kwanini umeoa/umeolewa?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
Wengine huoa kwa kutafta watoto,

Wengine mapenzi,

Wengine mtu wa kisimamia biashara.

Wengine company.

Wengine kwa sababu ya umri kusogea.

Wengine kupata wa kulea watoto.

Wengne kupata wa kumpikia kufua usafi wa nyumba.

Lakini wengine ni kwa ajili ya kumpata wa kumsaidia ki maisha. Hapa ndo unaskia "siowi au siolewi na asiye na kazi"
 
Kuoa/kuolewa...7bu kuu ni kutukuza uwepo wa'kimungu ndan ye2

K
 
It's biblical, but kila mmoja anaweza kuwa na sababu yake, ngoja tuone kama watakuja
 
Ndoa
  • inachangamsha (familia inaliwaza, watoto mke na kelele zao inakuweka kuwa Kiongozi)
  • inakuza (unajitofautisha na machokoraa na kukupa majukumu)
  • ina baraka za watoto (kuitwa mbele za watu Baba & Mama mbele ya dunia ni faraja) hebu kosa ione kadhia yake km utaweza mtuma mtoto wa mwenzako kitu
  • hebu zeeka aua kosa mke au mtoto ndio utaijua mesema Nyumba ya mgumba haina matanga
 
" Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja." Mwanzo 2: 24
 
Wengine huoa kwa kutafta watoto,

Wengine mapenzi,

Wengine mtu wa kisimamia biashara.

Wengine company.

Wengine kwa sababu ya umri kusogea.

Wengine kupata wa kulea watoto.

Wengne kupata wa kumpikia kufua usafi wa nyumba.

Lakini wengine ni kwa ajili ya kumpata wa kumsaidia ki maisha. Hapa ndo unaskia "siowi au siolewi na asiye na kazi"

Wewe umeoa? Kwa nini?

Kama hujaoa; najitoa kwenye hii discussion.
 
Back
Top Bottom