FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,066
- 40,725
kwa sababu yaanaaguzwa Dodoma mkuuBiashara ya uzalishaji wa magodoro imebainika kuwa moja ya bishara zenye faida kubwa kabisa duniani, sasa je, ni kwanini waChina hawaingizi magodoro nchini kama wafanyavyo kwa bidhaa zingine?
Tuna Viwanda Vya Magodoro Kama,Biashara ya uzalishaji wa magodoro imebainika kuwa moja ya bishara zenye faida kubwa kabisa duniani, sasa je, ni kwanini waChina hawaingizi magodoro nchini kama wafanyavyo kwa bidhaa zingine?
Hongereni sana watz kwa hilo .,endeleeni kuvisupport viwanda hivi..Tuna Viwanda Vya Magodoro Kama,
1. GSM
2. QFL
3.Dodoma Asili
4.TanFoam
5.VitaFoam
Na Kuna Vingine Pia Vinajengwa, Vimeshateka Soko. Ni Kama Viwanda Vya Sementi, Ni Ngumu Kukuta Imported Cement Nchini Kwa Sasa
Hahahah..., niliwahi kuina wakilalia yale ma plywood ya kumwagia zege.., eti ili mgongo unyooke..umeshawahi ona magodoro wanayotumia wachina?!
Mwaka Jana Nilifanya Practical Field Dodoma Asili, Niliona Wako Vizuri.Hongereni sana watz kwa hilo .,endeleeni kuvisupport viwanda hivi..
VitaFoam Ndio Wameshapata ISO Pia Wanatengeneza Magodoro Ya Spring. Kwa Vyovyote Nadhani Wameanza KuexportHivi tuna export magodoro?
Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.Tuna Viwanda Vya Magodoro Kama,
1. GSM
2. QFL
3.Dodoma Asili
4.TanFoam
5.VitaFoam
Na Kuna Vingine Pia Vinajengwa, Vimeshateka Soko. Ni Kama Viwanda Vya Sementi, Ni Ngumu Kukuta Imported Cement Nchini Kwa Sasa
Anza wewe mkuu, tena usingojee kesho anza leo hii. Tatizo sio wanasiasa, ni sisi. Mtaji mkubwa ni wazo, unalo umeshalipata, posible na taaluma unayo. Siasa itakufungaje hapo.Mwaka Jana Nilifanya Practical Field Dodoma Asili, Niliona Wako Vizuri.
Hata Uzalishaji Wao Hauhusishi Complex Means Za Kutisha, Vinamilikiwa Na Wahindi. Sisi Watu Weusi Wanasiasa Wametufanya Mazuzu. Mtambo Kama Ule Vijana 15 Hata Wa Chuo Tu Wakiwa Serious Wanaweza Kusimika Mitambo.
Vipi kulihusu hili soko holera mkuu? Nadhani hapa ndo penye kuleta shida sana, nahisi hivyo.Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.
Waziri Mwijage ni ngonjera tu kila siku bila kukaa na wenye viwanda ili kupata takwimu sahihi zitazosababisha kuweka masharti magumu ya uagizaji wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
Hatuna sababu kabisa ya kuagiza sementi, magodoro (labda yawe maalumu ya hospitali) na kanga. Ukiweka masharti magumu ya uagizaji na uuzaji mwaka mmoja viwanda vitafunguka.
Mfano mwingine. Ukizuia kuagiza wine si watakunywa dompo?
Mwijage aache maneno mengi a pursue protections policies. Basi.
Ndio nilichoongelea hapo juu. Tatizo ni protectiosms machinism haipo. Uthibiti wa bidhaa ukiwapo, ukawekewa masharti na sheria ngumu itawezekana tu. Anayetakiwa kufanya hivyo ni waziri wa viwanda. Anawasiliana na waziri wa fedha wanaweka policies kwenye budget kuwa kuanzia mwaka huu masharti ya uingizaji wa bidhaa fualani ni haya na atakayeinginza adhabu ni hii. Kodi inakuwa kubwa kwa bidhaa inayoingizwa.Vipi kulihusu hili soko holera mkuu? Nadhani hapa ndo penye kuleta shida sana, nahisi hivyo.
Mfano ni ile cement ya pakistan, yaan inauzwa bei rahisi kuliko cement za ndani?! Serikali inaruhusu vipi hili?! Wapige kodi kubwa; mfano mwingine ni ike sukari reject toka Brazil, imedhoofisha sana viwanda vyetu, hadi magu akaingilia kati!Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.
Waziri Mwijage ni ngonjera tu kila siku bila kukaa na wenye viwanda ili kupata takwimu sahihi zitazosababisha kuweka masharti magumu ya uagizaji wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
Hatuna sababu kabisa ya kuagiza sementi, magodoro (labda yawe maalumu ya hospitali) na kanga. Ukiweka masharti magumu ya uagizaji na uuzaji mwaka mmoja viwanda vitafunguka.
Mfano mwingine. Ukizuia kuagiza wine si watakunywa dompo?
Mwijage aache maneno mengi a pursue protections policies. Basi.
Hilo Unalosema Ni Tatizo, Lakini Tatizo Ulilo Nalo La Kulaumu Ni Kubwa Kuliko Hata Hilo La Wizara.Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.
Waziri Mwijage ni ngonjera tu kila siku bila kukaa na wenye viwanda ili kupata takwimu sahihi zitazosababisha kuweka masharti magumu ya uagizaji wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
Hatuna sababu kabisa ya kuagiza sementi, magodoro (labda yawe maalumu ya hospitali) na kanga. Ukiweka masharti magumu ya uagizaji na uuzaji mwaka mmoja viwanda vitafunguka.
Mfano mwingine. Ukizuia kuagiza wine si watakunywa dompo?
Mwijage aache maneno mengi a pursue protections policies. Basi.
Binafsi Kuna Miradi Yangu Binafsi Nimepanga Kuisimika ,lakini Hii Ya Magodoro Ilinivutia Pia Kama Ikija Kutokea Watu Wakaweza Partnership Ya Kujenga Kiwanda Hiki Naweza KujoinAnza wewe mkuu, tena usingojee kesho anza leo hii. Tatizo sio wanasiasa, ni sisi. Mtaji mkubwa ni wazo, unalo umeshalipata, posible na taaluma unayo. Siasa itakufungaje hapo.
Nilishawahi kuwa na mazungumzo na injinia msomi wa elimu ya juu, aliyebobea. Nilipowashangaa mbona wasomi hawafanyi uvumbuzi wa maana,akijibu serikali haifadhili research zao. Mmmhh! Wenyewe wanajenga hotels na mabaa ya ghorofa.
Haikuniingia akilini, kama fundi gereji masikini anawaza kuunda mashine yake tata. Prof. unaisubiri serikali, hizi nazo ni siasa. Mkuu anza wewe, we ni sehemu kubwa ya Tanzania, inawezekana kuliko hata hiyo serikali yenyewe.
Ulitaka nisifie.Hilo Unalosema Ni Tatizo, Lakini Tatizo Ulilo Nalo La Kulaumu Ni Kubwa Kuliko Hata Hilo La Wizara.
- Endelea Kuwa Mzee Wa Lawama Mpaka Siku Mambo Yatakapokuwa "Perfect" .