Je, ni kwanini Tanzania haiagizi magodoro toka China?

Binafsi Kuna Miradi Yangu Binafsi Nimepanga Kuisimika ,lakini Hii Ya Magodoro Ilinivutia Pia Kama Ikija Kutokea Watu Wakaweza Partnership Ya Kujenga Kiwanda Hiki Naweza Kujoin

- Tatizo Letu Tuna Overdependence Kwa Serikali Na Wanasiasa Utafikiri Kuna Anaeweza Kugeuza Nchi Edeni, Serikali Siku Zote Ndo Inatutegemea Sisi Kwa Kodi
Mbona na wewe umeanza kulaumu
 
Ndio nilichoongelea hapo juu. Tatizo ni protectiosms machinism haipo. Uthibiti wa bidhaa ukiwapo, ukawekewa masharti na sheria ngumu itawezekana tu. Anayetakiwa kufanya hivyo ni waziri wa viwanda. Anawasiliana na waziri wa fedha wanaweka policies kwenye budget kuwa kuanzia mwaka huu masharti ya uingizaji wa bidhaa fualani ni haya na atakayeinginza adhabu ni hii. Kodi inakuwa kubwa kwa bidhaa inayoingizwa.
Mwaka.mmoja utaona viwanda vinafunguka.
Hivyo ndivyo ipaswavyo kuwa, haswa kwa nchi zetu hizi changa. Lakini ulidhani ni maamuzi yetu mepesi tu ya kiuwaziri yanayoweza kulitimiza hilo? Ikumbuko hotuba ya hayati, Mwl. Nyerere OTU, Mbeya.
Mwl. aliliponda sana hili swala, akasema hata mataifa yaliyoendelea huvilinda viwanda na maslahi yao kwann sisi TULAZIMISHWE kuingia kichwakichwa. Concept hapa ni kwamba mataifa makubwa yanatudrive kwenye chumi zao kwa maslahi yao.

Tuanze na kujitasmini kuhusu huu mfumo wa uchumi tunaouelekea kwa kasi, tukiona una walakini tujisawazishe.
 
Ndicho kilichoigeuka Marekani na anakizungumzia sana Trump kwa kuachia kila kitu kiingie.
Kulinda viwanda kuko kwa aina nyingi. WTO inataka bidhaa ziingie kwa uhuru lakini haikuweka masharti ya kodi za ndani. Imeweka tu kiwango cha juu cha import duty ambayo ni 25% na tunaifuata. Ili kujilinda unaongeza ecxise duty upendavyo. Vat ni 18%. Unaweza kuweka na masharti ya waingizaji. Wawe controllable. Na kuweka quota ya bidhaa zinazotakiwa kuingizwa kama wanavyofanya sukari. Hiyo ndio protecrionism. Na ya yanasimamiwa na wizara ya viwanda.
Kama serikali yetu itaimba viwanda bila kuweka sera za makusudi za kulinda viwanda, havitaanzishwa.
 
Basi hapa lile gonjwa la asilimia 10 ndo kikwazo. Mi nadhani wananchi tungekuwa na kamfumo ka kuhitaji kipi serikali ikifanye. Bunge likasimamie tu hicho. Na ilani za vyama vije vioneshe kivipi watafanikisha hilo.

Namaanisha, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi kuwe na kura ya maoni, tuipitishe kirahisi tu bila cost, itoe maoni juu ya kila kitu. Hili lisiwe chini ya serikali bali umma wenyewe.

Nawaza tu. Ila lingewezekana ingekuwa safi sana.
 
Unaingiza siasa. Rais akiwa na washauri wazuri can do.
Sio hawa wa kusema mkoa wa Mara ndio wa pili kwa viwanda.
Kukuonyesha jinsi rais anavyoweza kugeuza sera kuhusu viwanda. Soma guardian la leo 7.1.2017 uk wa 29 utaona jinsi alivyoamua kupambana waziwazi na toyota. Haimbi idadi ya viwanda nchini.
 
Biashara ni ushindani hata ukiuza Malawi ni nchi za nje, fika zomba, Lusaka utakuta bidhaa za godoro made in Tanzania
 
Basi hapa lile gonjwa la asilimia 10 ndo kikwazo. Mi nadhani wananchi tungekuwa na kamfumo ka kuhitaji kipi serikali ikifanye. Bunge likasimamie tu hicho. Na ilani za vyama vije vioneshe kivipi watafanikisha hilo.

Namaanisha, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi kuwe na kura ya maoni, tuipitishe kirahisi tu bila cost, itoe maoni juu ya kila kitu. Hili lisiwe chini ya serikali bali umma wenyewe.

Nawaza tu. Ila lingewezekana ingekuwa safi sana.
Exactly, nchi wanufaika na biashara za importation hapa kwetu ndio wanatuhujumu.., mfano leo tukianzisha kiwanda cha ku-assemble magari ni lazima Toyota ya Japan ilete fitna na kuweka uzibe, maana Japan itapoteza ajira zake na zitahamia Tanzania, ni lazima watahonga hiyo 10% ili kuhujumu juhudi za waChina za kuanzisha assembly plant hapa bongo, inauma sana, huwa naskiaga uchungu mno..., daah.., why us?!
 
Biashara ya uzalishaji wa magodoro imebainika kuwa moja ya bishara zenye faida kubwa kabisa duniani, sasa je, ni kwanini waChina hawaingizi magodoro nchini kama wafanyavyo kwa bidhaa zingine?
Tutauwa viwanda vya ndani.Tuna viwanda vingi sana vya magodoro
 
Exactly, nchi wanufaika na biashara za importation hapa kwetu ndio wanatuhujumu.., mfano leo tukianzisha kiwanda cha ku-assemble magari ni lazima Toyota ya Japan ilete fitna na kuweka uzibe, maana Japan itapoteza ajira zake na zitahamia Tanzania, ni lazima watahonga hiyo 10% ili kuhujumu juhudi za waChina za kuanzisha assembly plant hapa bongo, inauma sana, huwa naskiaga uchungu mno..., daah.., why us?!
Tutakufa kwa haya maumivu mkuu, mi nilishawahi sikia eti hata reli ya kati ni wafanyabiashara wenye malori ndo walilihujumu shirika, wapige dili. Pia nilishawahi kusikia lenye kustaajabisha zaidi kuhusu Tanesco, eti wafanyabiashara wa majenereta wakishirikiana na watendaji walilifungulia bwawa la kidatu na mtera maji yaishe.
Bora ziwe tu stori za kijiweni, kama ni kweli kazi ipo.

Ila kuhusu Nyerere na ujamaa ni dhahiri, mkonge ulishushwa na buni zikapandishwa thamani za Brazil. Pamba India ikawa na soko, mzee kachemka.
 
Back
Top Bottom