Je, ni kwanini Tanzania haiagizi magodoro toka China?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,536
2,000
Biashara ya uzalishaji wa magodoro imebainika kuwa moja ya bishara zenye faida kubwa kabisa duniani, sasa je, ni kwanini waChina hawaingizi magodoro nchini kama wafanyavyo kwa bidhaa zingine?
 
wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,227
2,000
Magodoro yanayozalishwa Tanzania ni bora kuliko yale yanayotoka China. Pia sio kweli kuwa magodoro toka China hayapo Tanzania yapo;nenda madukan utayaona lakini ni mepesi sana pia yanauzwa bei chee
 
Crocozilla

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
471
250
Jamaa anataka hata hivi viwanda viwili tulivyonavyo kufungwa. Hivi wachina wakimwaga magodoro hapa nani ataenda kazini kati ya hao wafanyakazi wa viwanda vyetu?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,324
2,000
Biashara ya uzalishaji wa magodoro imebainika kuwa moja ya bishara zenye faida kubwa kabisa duniani, sasa je, ni kwanini waChina hawaingizi magodoro nchini kama wafanyavyo kwa bidhaa zingine?
Tuna Viwanda Vya Magodoro Kama,

1. GSM

2. QFL

3.Dodoma Asili

4.TanFoam

5.VitaFoam

Na Kuna Vingine Pia Vinajengwa, Vimeshateka Soko. Ni Kama Viwanda Vya Sementi, Ni Ngumu Kukuta Imported Cement Nchini Kwa Sasa
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,324
2,000
Hongereni sana watz kwa hilo .,endeleeni kuvisupport viwanda hivi..
Mwaka Jana Nilifanya Practical Field Dodoma Asili, Niliona Wako Vizuri.

Hata Uzalishaji Wao Hauhusishi Complex Means Za Kutisha, Vinamilikiwa Na Wahindi. Sisi Watu Weusi Wanasiasa Wametufanya Mazuzu. Mtambo Kama Ule Vijana 15 Hata Wa Chuo Tu Wakiwa Serious Wanaweza Kusimika Mitambo.
 
Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,639
2,000
Tuna Viwanda Vya Magodoro Kama,

1. GSM

2. QFL

3.Dodoma Asili

4.TanFoam

5.VitaFoam

Na Kuna Vingine Pia Vinajengwa, Vimeshateka Soko. Ni Kama Viwanda Vya Sementi, Ni Ngumu Kukuta Imported Cement Nchini Kwa Sasa
Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.
Waziri Mwijage ni ngonjera tu kila siku bila kukaa na wenye viwanda ili kupata takwimu sahihi zitazosababisha kuweka masharti magumu ya uagizaji wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
Hatuna sababu kabisa ya kuagiza sementi, magodoro (labda yawe maalumu ya hospitali) na kanga. Ukiweka masharti magumu ya uagizaji na uuzaji mwaka mmoja viwanda vitafunguka.
Mfano mwingine. Ukizuia kuagiza wine si watakunywa dompo?
Mwijage aache maneno mengi a pursue protections policies. Basi.
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
Mwaka Jana Nilifanya Practical Field Dodoma Asili, Niliona Wako Vizuri.

Hata Uzalishaji Wao Hauhusishi Complex Means Za Kutisha, Vinamilikiwa Na Wahindi. Sisi Watu Weusi Wanasiasa Wametufanya Mazuzu. Mtambo Kama Ule Vijana 15 Hata Wa Chuo Tu Wakiwa Serious Wanaweza Kusimika Mitambo.
Anza wewe mkuu, tena usingojee kesho anza leo hii. Tatizo sio wanasiasa, ni sisi. Mtaji mkubwa ni wazo, unalo umeshalipata, posible na taaluma unayo. Siasa itakufungaje hapo.

Nilishawahi kuwa na mazungumzo na injinia msomi wa elimu ya juu, aliyebobea. Nilipowashangaa mbona wasomi hawafanyi uvumbuzi wa maana,akijibu serikali haifadhili research zao. Mmmhh! Wenyewe wanajenga hotels na mabaa ya ghorofa.

Haikuniingia akilini, kama fundi gereji masikini anawaza kuunda mashine yake tata. Prof. unaisubiri serikali, hizi nazo ni siasa. Mkuu anza wewe, we ni sehemu kubwa ya Tanzania, inawezekana kuliko hata hiyo serikali yenyewe.
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.
Waziri Mwijage ni ngonjera tu kila siku bila kukaa na wenye viwanda ili kupata takwimu sahihi zitazosababisha kuweka masharti magumu ya uagizaji wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
Hatuna sababu kabisa ya kuagiza sementi, magodoro (labda yawe maalumu ya hospitali) na kanga. Ukiweka masharti magumu ya uagizaji na uuzaji mwaka mmoja viwanda vitafunguka.
Mfano mwingine. Ukizuia kuagiza wine si watakunywa dompo?
Mwijage aache maneno mengi a pursue protections policies. Basi.
Vipi kulihusu hili soko holera mkuu? Nadhani hapa ndo penye kuleta shida sana, nahisi hivyo.
 
Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,639
2,000
Vipi kulihusu hili soko holera mkuu? Nadhani hapa ndo penye kuleta shida sana, nahisi hivyo.
Ndio nilichoongelea hapo juu. Tatizo ni protectiosms machinism haipo. Uthibiti wa bidhaa ukiwapo, ukawekewa masharti na sheria ngumu itawezekana tu. Anayetakiwa kufanya hivyo ni waziri wa viwanda. Anawasiliana na waziri wa fedha wanaweka policies kwenye budget kuwa kuanzia mwaka huu masharti ya uingizaji wa bidhaa fualani ni haya na atakayeinginza adhabu ni hii. Kodi inakuwa kubwa kwa bidhaa inayoingizwa.
Mwaka.mmoja utaona viwanda vinafunguka.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,536
2,000
Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.
Waziri Mwijage ni ngonjera tu kila siku bila kukaa na wenye viwanda ili kupata takwimu sahihi zitazosababisha kuweka masharti magumu ya uagizaji wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
Hatuna sababu kabisa ya kuagiza sementi, magodoro (labda yawe maalumu ya hospitali) na kanga. Ukiweka masharti magumu ya uagizaji na uuzaji mwaka mmoja viwanda vitafunguka.
Mfano mwingine. Ukizuia kuagiza wine si watakunywa dompo?
Mwijage aache maneno mengi a pursue protections policies. Basi.
Mfano ni ile cement ya pakistan, yaan inauzwa bei rahisi kuliko cement za ndani?! Serikali inaruhusu vipi hili?! Wapige kodi kubwa; mfano mwingine ni ike sukari reject toka Brazil, imedhoofisha sana viwanda vyetu, hadi magu akaingilia kati!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,324
2,000
Uko sahihi. Tatizo kubwa tulilonalo kwenye wizara yetu ya biashara ni ngonjera nyingi. Hakuna nchi inafanikiwa kuwa ya viwanda bila kuwa na sera za kulinda viwanda vya ndani kwa kuzuia bidaha za nje au kuziwekea kodi kubwa.
Waziri Mwijage ni ngonjera tu kila siku bila kukaa na wenye viwanda ili kupata takwimu sahihi zitazosababisha kuweka masharti magumu ya uagizaji wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
Hatuna sababu kabisa ya kuagiza sementi, magodoro (labda yawe maalumu ya hospitali) na kanga. Ukiweka masharti magumu ya uagizaji na uuzaji mwaka mmoja viwanda vitafunguka.
Mfano mwingine. Ukizuia kuagiza wine si watakunywa dompo?
Mwijage aache maneno mengi a pursue protections policies. Basi.
Hilo Unalosema Ni Tatizo, Lakini Tatizo Ulilo Nalo La Kulaumu Ni Kubwa Kuliko Hata Hilo La Wizara.

- Endelea Kuwa Mzee Wa Lawama Mpaka Siku Mambo Yatakapokuwa "Perfect" .
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,324
2,000
Anza wewe mkuu, tena usingojee kesho anza leo hii. Tatizo sio wanasiasa, ni sisi. Mtaji mkubwa ni wazo, unalo umeshalipata, posible na taaluma unayo. Siasa itakufungaje hapo.

Nilishawahi kuwa na mazungumzo na injinia msomi wa elimu ya juu, aliyebobea. Nilipowashangaa mbona wasomi hawafanyi uvumbuzi wa maana,akijibu serikali haifadhili research zao. Mmmhh! Wenyewe wanajenga hotels na mabaa ya ghorofa.

Haikuniingia akilini, kama fundi gereji masikini anawaza kuunda mashine yake tata. Prof. unaisubiri serikali, hizi nazo ni siasa. Mkuu anza wewe, we ni sehemu kubwa ya Tanzania, inawezekana kuliko hata hiyo serikali yenyewe.
Binafsi Kuna Miradi Yangu Binafsi Nimepanga Kuisimika ,lakini Hii Ya Magodoro Ilinivutia Pia Kama Ikija Kutokea Watu Wakaweza Partnership Ya Kujenga Kiwanda Hiki Naweza Kujoin

- Tatizo Letu Tuna Overdependence Kwa Serikali Na Wanasiasa Utafikiri Kuna Anaeweza Kugeuza Nchi Edeni, Serikali Siku Zote Ndo Inatutegemea Sisi Kwa Kodi
 
Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,639
2,000
Hilo Unalosema Ni Tatizo, Lakini Tatizo Ulilo Nalo La Kulaumu Ni Kubwa Kuliko Hata Hilo La Wizara.

- Endelea Kuwa Mzee Wa Lawama Mpaka Siku Mambo Yatakapokuwa "Perfect" .
Ulitaka nisifie.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom