na avatar ya huyu Maboso hivi ma.vi yote anayatoa wapiAsa kwenye avatar si utachoka kupiga mateke
Asa kwenye avatar si utachoka kupiga mateke
umri unawasumbua na nyege mshindo wewe acha tuu wapeane promise ...watamani...wapendane stage ipite salama
umenchekesha asee nimekumiss sana mumie
Hahahaaaa nmekumic pia mumitho
Asa kwenye avatar si utachoka kupiga mateke
Uko poa
Npo poa mumitho ila mwambie shem asikubane sanaa
Ha ha ha Sweetheart wewe.. Halafu hili jina mbona ninajisikia kulitamka mara kwa mara..?
Ahhahhahha hanibani yeye bana majukum yanakaba
Watoto wanakua upesi mihemko iko juu hapo ni kudanganyana tu mana mfano kafika form four mungu kamjaalia kaenda A level anakutana na wakali zaidi anahamisha makazi hapo akienda university ndo zaidi mihemko tu nyege mshindo zinawasumbua
na mtoto hadi anamaliza university amesha experience maumiv ya mapenzi kwa sanaaaa yani humwambii kitu kabisa juu ya mapenzi na sjui ni kipi asichokijua.
Mdada upo?? Shkaoooo.