Salaleeee
Nikupe mji?
hahaha... Baba v unaniangusha yaani hauna hata dalili ya kupata jibu..
Halafu nitakunong'oneza kitu baadae.
Kwani vipi!?
Nahisi siko mbali na jibu, kuhusu kuninong'oneza usijali, niko PM nakusubiri.
naona mpaka nikienda huko PM nitachelewa ngoja tu nikunong'oneze hapa hapa... (kuna kijana mmoja anaitwa king kan ananifukuzia ila ameoa, na ninahisi ameoa ndugu yake, hebu nipe mchakato wa tabia zake kabla cjasema YES)
copy: king kan na queen kan
...kitu..! Hicho kitu ni kinaniliyu kile...ehee hicho hichoNi cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao
JE, NI KITU GANI HICHO?
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao
JE, NI KITU GANI HICHO?
king kan ni mume halali wa Queen Kan... Afu una nini wewe?naona mpaka nikienda huko PM nitachelewa ngoja tu nikunong'oneze hapa hapa... (kuna kijana mmoja anaitwa king kan ananifukuzia ila ameoa, na ninahisi ameoa ndugu yake, hebu nipe mchakato wa tabia zake kabla cjasema YES)
copy: king kan na queen kan
...kitu..! Hicho kitu ni kinaniliyu kile...ehee hicho hicho
umeona ee, hujambo lakini shem