Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, hapa nchini pana makabila mengi lakini pana makabila fulani watu wake wanapokuwa nje ya sehemu hizo huona aibu kujitambulisha kwa makabila yao ya asili. Mfano Msafa, huyu ni kutoka Mbeya lakini anapokuwa nje ya mkoa huo hujitambulisha kama Mnyakyusa wakati Mnyakyusa ni kutoka wilaya ya Tukuyu. Ila Msukuma na Mmaasai hawa wakiwa pahala popote hawaoni aibu kujitanua kwa makabila yao ya asili.