Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 733
- 926
Nanukuu mashairi ya wimbo "Nje ya box" wa kundi la Weusi
Mungu nijalie demu mpenda pesa
Kila siku nipigane kuwa bakhresa
Asinipende mimi apende verosa
Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha na misoto sana
Huyo demu hanifai changamoto hana
Ikiwa demu wako anapenda vidogo
Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
Demu amsifie sana bosi wangu
Nikasirike kesho nijenge kiwanda change
Sitaki demu wa kitanga jioni moja kanga
Tayari amejipanga kwa mabusu mangapi
Demu nayemtaka Manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza shingapi
Swali
Je, ni dhambi kwa mwanamke kupenda pesa? Je, ni vibaya kwa mwanamke kummotivate mwanaume kuwa tajiri??
Kwanini si rahisi kwa mwanaume kukubali kuelekezwa na mwanamke namna ya kuenendea mafanikio??
Wengi tunaitwa wajuaji kama si malaya hata kama vyanzo vya pesa yetu vinaoneka...why??