Je ni boxer au sanlg?

Je ni boxer au sanlg?

MANGWETI

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Wadau Naombeni Mnijuze Ipi Ni Piki2 Bora Zaidi Ya Nyingine. Nataka Kununua Kwa Matumizi Yangu. Je Ni Kweli Boxer Inatunza Mafuta Yaan I Lita Kwa 60 Km Lkn Haimili Miki2? Vip Kuhusu Sanlg? Msaada Tafadhali.
 
boxer ni nzuri na ni bora zaidi,yaani haifanani na sanlg kwa manna yoyote.
 
chukua boxer ingawa co kubebea maji au shughul za purukushan imekaa kiofis zaid . ila kama ni ya mikoan huku kweny kila aina shuruba take SAN LG yo wil never regret
 
Back
Top Bottom