Kuna chuo nimeapply nje ya nchi na wameniambia vyeti vya form 4 na form 6 vitumwe moja kwa moja na NECTA kwenda kwao. Je hii kitu ipo kweli? Nimewaambia naweza kuwatumia notarized copies wamesisitiza zitumwe kutoka NECTA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.