Je, ndoa ngapi “zinatosha” mtu mmoja kufunga?

Je, ndoa ngapi “zinatosha” mtu mmoja kufunga?

hakuna aliyeumbwa ili aishi peke yake,mwingine akiachia unatafuta atakayeziba pengo..hayo mengine ni makaratasi tu

Je, ikifika namba flani lets say ndoa 3 mtu aache kujishughulisha na makaratasi? Asogeze tu mtu aishi naye?
 
Je, ikifika namba flani lets say ndoa 3 mtu aache kujishughulisha na makaratasi? Asogeze tu mtu aishi naye?
Maisha yana changamoto nyingi,na unapofanya maamuzi usitazame watu watakuchukuliaje.Hawa wanaotoa karatasi hawana tija kwenye maisha yako.Ukitaka kuthibitisha hilo,ugua ukiwa na miaka 45+ na uwe ni mtu wa kukaa kitandani....hapo utapata ukweli wa maisha yalivyo.Kinachofanyika katika ulimwengu huu ni mtu kupambana ili ile siku yenye changamoto awe na msaidizi
 
Back
Top Bottom