Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Inawezekana, nilifanikiwa kutumia app toka torrent ya youtube bila adds kwenye simu, tatizo lake ilikuwa inacorrupt sana kila muda nika uninstall.1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
Mimi nataka hizi official cracked apps huwa situmii mkuu sijui kwanini sizipendi tu, bora nilipie siyo tatizo ila matangazo yananiboa mno.Inawezekana, nilifanikiwa kutumia app toka torrent ya youtube bila adds kwenye simu, tatizo lake ilikuwa inacorrupt sana kila muda nika uninstall.
Yes tumia AdGuard extension kwenye browser yako1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
Mkuu hao unao angalia video zao unadhani wata nufaika vipi na kazi zao ikiwa hutaki ads?1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
Inawezekana,1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
Tumia Youtube Pro1. Nasalmia.