Kwanza unatakiwa uwe na adabu unapoita watu usio wajua "mdogowangu" unaweza kuta unamuita hivyo baba ako bila kujijua!
Pili Unaongelea mambo usiyo yajua. Hivi ukifika chuo si wote mmnasoma hiyo phy ya form6 from scratch kwenye kozi inayoitwa engineering mechanics?
Achana na hiyo Nikupe mfano hai, kuna ofisi nnaijua ina injinia aliye soma egm na akaenda chuo kusoma engineering! Na huyu injinia ni moja kati ya mainjinia wanaotegemewa katika ofisi na mkoa kwa ujumla!
Kuna mwingine nnamjua yeye mpaka amesajiliwa kwa sasa professional engineer! Iko mifano mingi sana! Ila unatakiwa uache kukariri! Kitu cha muhimu katika engineering ni "pure mathematics" na mtu yeyote anaye jua hesabu anaweza kusoma engineering bila shida!