Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGEng yyt bila physics ni uongo.haipo.physics,physics ,physics ,physics,physics
Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGM
Kapige shule, hiyo M kwenye comb inatosha kabisaJe ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGM
Inawezekana kabisa tena bila shida!! Chamsingi hakikisha ulisoma Phy na chem olevo na ukapata walau D!Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGM
Hujui chochote. Nenda kwenye guide book ya tcu ujionee mwenyewe! Kinachotakiwa ni uwe na ufaulu mzuri kwenye pure na geography!Kijana kweli unauliza hili??
HAIWEZEKANI.
Climatology na Soft eng wapi na wapi
Kuliko asome hiyo bora ya UDOM!Kuna moja iko hapa RUCU.
Ila ni miaka mitatu. Nadhani sio pure Engineering.
Kama utapenda omba RUCU kiko Iringa.
Hujui chochote. Nenda kwenye guide book ya tcu ujionee mwenyewe! Kinachotakiwa ni uwe na ufaulu mzuri kwenye pure na geography!
Nadhani hio ya UDOM itakuwa bora zaidiKuliko asome hiyo bora ya UDOM!
Hujui chochote. Nenda kwenye guide book ya tcu ujionee mwenyewe! Kinachotakiwa ni uwe na ufaulu mzuri kwenye pure na geography!
Ruaha Catholic University wanachukua mathematics na geography kwa course ya computer science specializing in software engineering. Udom hawachukui economics wala geography. Source:tcu admission guide.Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGM
UDOMChuo gani?
Kuna vyuo vinapokea watu wa EGM kusoma engineering tena bila shida yeyote! Hayo mambo ya kusoma engineering lazima uwe na phy ni ya zamani!Engineering hawezi. Labda IT na computer science