Je, naweza kupata nafasi kwenye Apartment za Watumishi Housing?

Northern Lights

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
383
347
Habari wakuu,

Baada ya kufikiria walau kupata sehem ya kukaa iliyo karibu na mjini nimeona kuna apartment pale Magomeni za Watumishi Housing Corporation, sasa je kwa mtu wa kipato cha kawaida (net salary above 1M sina familia) naweza kuzipata?

Nikisema nijenge siwezi kupata kiwanja ambachi kipo karibu na mjini na hata nikipata gharama ni kubwa sana so ni bora niwe mpangaji mnunuzi.

Nakaribisha mwenye ushauri wowote.

Asante
 
Kwanza hujatueleza kuhusu kodi yake ya pango kwa mwezi.

Pili:Hujatueleza Gharama yake ya kununua kama mtu anahitaji kununua.

Leta majibu ya hayo maswali kwanza ndio tujue cha kukushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei hizi hapa mkuu japo hawasema installment ni kiasi gani kwa mwaka
Adjustments.JPG
 
Habari wakuu,

Baada ya kufikiria walau kupata sehem ya kukaa iliyo karibu na mjini nimeona kuna apartment pale Magomeni za Watumishi Housing Corporation, sasa je kwa mtu wa kipato cha kawaida ( net salary above 1M sina familia ) naweza kuzipata?

Nikisema nijenge siwezi kupata kiwanja ambachi kipo karibu na mjini na hata nikipata gharama ni kubwa sana so ni bora niwe mpangaji mnunuzi.

Nakaribisha mwenye ushauri wowote.

Asante

Wee ni kabila gani kwanza ni msukuma au...?
 
Back
Top Bottom