Wadau katika blackberry bold 2 9900 naomba kujua kama ina support firefox.......nipeni maujanja wadau.naomba kuwasilisha.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwanini unataka kuinstall Firefox??
Browser ambayo ipo stable kwa Blackberry ni Opera Mini na hamna toleo la Firefox kwa simu uliyoitaja...
Nadhani nimekujibu