Nina iPad one yangu yenye line inatumia ios5.1.1 Nataka ku update version nyingine kuwa 6or7or8 je inawezekana???? Nitapata tabu sababu kuna apps zinagoma kuinstall
Inawezekana. Tumia PC then ingia itune subiri meseji ya ku update version wakati umeconnect ipad yako. Hakikisha umeconnect internet kwenye pc yako vile vile uwe na bando la kutosha at least 3GB
Just google ipsw ukiipata site yake download kupitia hiyo site maana ukidownload kipitia itunes huwa inasumbua sana maana file lina ukubwa wa almost 1.7gb so mtandao ukiyumba kidogo inabidi uanze tena upya kudownload lakini hiyo ipsw unaweza ukaresume
Nina iPad one yangu yenye line inatumia ios5.1.1 Nataka ku update version nyingine kuwa 6or7or8 je inawezekana???? Nitapata tabu sababu kuna apps zinagoma kuinstall
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.