Samsung flagship zao zote bootloader ipo unlocked ila jiepushe na samsung ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya mitandao ya marekani/china/korea hizi huwa ni pasua kichwa.
Oneplus pia zinakuwa na community kubwa na pia unaweza ku unlock bootlodear (sema inafuta kila kitu)
Simu za Google hizi pixel
Xiaomi za ulaya Kama Mi A3 na A series nyengine.
Motorola hizi G series
Sema Oneplus nairecomend zaidi sababu itakupa advantage nyengine kama Ram na storage kubwa, ambazo ni future proof.