mkuu habari ya kwako ndg yangu . nina mordem nilipewa ofisini kipindi cha nyuma ya ttcl sijui kama utaweza kunisaidia ku unlock ndugu yangu model ni huawei ec122 cdmaxevdo rev A usb stick fcc id q1sec122 esn 06cf716a s/n h19ms81031600716 ntafurahi sana kama utaweza nisaidia . thanx in advance