Je, naruhusiwa kumuua Mchawi?

Kaka wewe ni mjuzi.. je nafanyaje na famili inateseka na haachi uchawi na umri wake ni 80yrs na kasha mridhisha binti yake mweye miaka 55 hatujui huu mzunguko utaisha lini ..

Unataka kumuua Kwa kutumia uchawi au Kwa kutumia upanga?
 
Kaka wewe ni mjuzi.. je nafanyaje na famili inateseka na haachi uchawi na umri wake ni 80yrs na kasha mridhisha binti yake mweye miaka 55 hatujui huu mzunguko utaisha lini ..
Halafu nilichogundua kuna uwezekano wachawi wanaishi miaka mingi sana, zaidi ya miaka 80.......kuna nini nyuma ya pazia wao kuishi umri mrefu hivyo hata kama hawako na maisha ya juu. Unakuta kibibi kinaishi maisha ya shida kijijini na kina miaka 90........ila ninachoamini wachawi watakuwa wanatumikia ulimwengu na malengo tofauti sana na binadamu wa kawaida kwani haingii akilini mtu ukamtoa hadi mtoto uliyemzaa mwenyewe kwenye makafara ya kichawi....
 
Unataka kumuua Kwa kutumia uchawi au Kwa kutumia upanga?
Uchawi.... Ila natakiwa nipate Mganga mwenye nguvu na aisiye na Uruma kabisa..

Nimeelekezwa Congo, mara Malawi, mara Msumbiji.. lakini kote ni hela.. na uchumi wangu mbovu kutokana na mchawi huyu huyu kufunga mambo yangu..
 
Kabisa kaka.. yaan tume msii Mungu kwa maombi yote kwamba kama ana mpenda sana mtu huyu basi amzuie asitumalize lakini wapi.. tuka msihi mungu atuondolee mtu huyu kwa amani.. wapi.. ndio kwanza nikam tuna jiongelesha wenyewe hakuna cha Mungu kujibu wala badiliko hali ndio mbaya zaidi
 
Mi mpaka unithibitishie anawauaje kwa Huo Uchawi...Au umeshawahi kumuona.
 
Haya mambo ya kuwatuhumu watu wanga yana uwalakini.
Nina binamu yangu mlokole, kabla ya kuokoka alizalishwa na jamaa halafu hakumuoa so ni single mother. Alipookoka akawa anasema watu wachawi eti akisali anaonyeshwa.
Yani kila mtu mchawi sijui maombi ya kuwatandika sijui nini.
Sasa baadae akapoa akaacha sema watu wachawi.
Mwezi wa pili tukawa twapiga story ndipo akaniambia sababu.
Akasema unajua Nafaka, mimi nimeacha watuhumu watu uchawi kwasababu na mimi nishatuhumiwa uchawi na sina jinsi ya kujitetea.
Nikamuuliza ilikuaje?
Akasema unajua mzazi mwenzangu alioa, mkewe akapata mimba ikatoka na baada ya hapo hakupata mimba tena. Hivyo akaanza enda kwenye maombi, eti akaambiwa mimi ndiye nimemroga asizae ili aachike niolewe mimi.
Akasema baada ya hapo akaanza kusali na kwenda kwenye maombi na sasa mjamzito, hivyo anaamini kweli nilimroga maombi yameondoa uchawi kapata ujauzito.
Akasema mbaya zaidi hana jinsi ya kujivua hizo tuhuma.
Akasema ila imemfundisha hata yeye kuna watu wengi alikuwa anawatuhumi wachawi bure.
Mimi nikasema malipo ni hapa hapa kwa dunia.
 
Biblia inasema usiue fuata biblia hiyo hiyoo
 
Kisheria kuuwa mtu yeyeto ni dhambi. Kigiza sio dhambi maana damu ya mchawi, mwizi hazina password huwezi pata laaana. Laana itakupata kwa kuua mtu asiye na hatia.
 
Anamalizaa ukoo au watu wanajifia kwa mpng wa MUNGU NANYI mmeona mumshikiliee bangi kisaa mjanee mkuu,au imekaajee
Vifo vipo vya aina mbili ndugu cha Mpango wa Mungu na cha Mpango wa Mwanadamu
 
Kaka wewe ni mjuzi.. je nafanyaje na famili inateseka na haachi uchawi na umri wake ni 80yrs na kasha mridhisha binti yake mweye miaka 55 hatujui huu mzunguko utaisha lini ..
Zipo njia mfukuzeni kwenye ukoo vijijini wachawi huwa wanafurushwa wakaishi porini pekee yao.Na marufuku akionekana tu ni wanted
 
Ndio maana natafuta mtaalamu haswa.. staki.wababaishaji
Hamna cha mtaalam we mkodie vijana tu wape raman wapige nondo ya kichwa wamwage ubongo wakimbie na pikpik polis hua hawafuatilii kesi za mauaj kama ndugu wa marehem awapressurize ndio maana hawa vibaka wakifa wao wanabeba maiti tu
 
Mtu yupo JF home of great thinkers anaamini story za kusadikika za ushirikina. Watanganyika bado tuna safari ndefu. Serikali ianzishe kodi ya uzwazwa na huyu mleta uzi awe wa kwanza kulipia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…