WatesiWETU
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 106
- 250
Natufata Mganga Amalize.. naambiwa wapo waganga konkodi..wanajua jinsi ya kuwamaliza..Kama wewe ni mchawi na unaweza kuua kwa uchawi ni sawa ila kama hauna uchawi na sio mchawi mpotezee.
Kuna waganga naambiwa niwafuate Msumbiji wana wamaliza wachawi ndani dakika 7 wana tuma kitu kina mpiga anakufa..Umepanga kumuua kwa njia ipi?
Nani ka kwambi ni Mjane mkuu??Anamalizaa ukoo au watu wanajifia kwa mpng wa MUNGU NANYI mmeona mumshikiliee bangi kisaa mjanee mkuu,au imekaajee
Kuwa makini mkuu, kama mchawi atakuwa vizuri kuliko mganga wako unaweza kupata madhara wewe, narudia tena kama wewe sio mchawi achana nae.Natufata Mganga Amalize.. naambiwa wapo waganga konkodi..wanajua jinsi ya kuwamaliza..
Sasa Kaka tuta angamizwa mpaka lini na madhara mengine kibao kwenye familia watu wakienda kwenye maombi wanaanguka na miroho inapanda inasema ndio huo mama kayatuma kumfanya mtu asizae, mwingine miroho inapanda inamtaja huuo mama kauwa watu kadha wakadha nakweli watu hao hawapo walikufabkimzingara.. kafunga ajira za watu, kawafanya wengine vichaa.. yaan shida tupu.. je tunafanyaje??Kuwa makini mkuu, kama mchawi atakuwa vizuri kuliko mganga wako unaweza kupata madhara wewe, narudia tena kama wewe sio mchawi achana nae.
Ss hao watu akuwauwaa na mkimuulizaa anawauwaa kisa nn ?huwa anajibu vipiii?Nani ka kwambi ni Mjane mkuu??
Kaka wewe ni mjuzi.. je nafanyaje na famili inateseka na haachi uchawi na umri wake ni 80yrs na kasha mridhisha binti yake mweye miaka 55 hatujui huu mzunguko utaisha lini ..Ukiua Kwa risasi utaenda jela. Be warned
Biblia ina jichanganya yenyewe.. kule Kutoka imetupa ruhusa kuuwa.. uku kwenyr amri kumi ina jichanganya tusiuwe.. je wao wanavyo tuuwa na kusali bila majibu ina maanisha tukae tuendelee kuisha?Amri ya 5. Usiue.
If you kill an evil person his blood will used to multiply more evil people and therefore more consequences the world will face.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app