MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kwa mfano ikitokea nikawa na Msaidizi wangu ndani ya Ikulu ambaye nilimwamini mno ila baadae akaanza Kunikosoa, Kuchukizwa na Utendaji wangu na tabia zangu za Ukatii wa Kurithi huku nikagundua huwa anavujisha pia Siri zangu na Kuwaamuru Wasaidizi wangu ( Wana Usalama ) wammalize Kiuhai ila watumie Akili Kubwa isijulikane nitakuwa sijapatia?
Kisha hapo hapo nikishalimaliza hili Zoezi ambapo Mimi nitawashauri watumie Mvumo wa Magonjwa ya Mlipuko yaliyopo muda huo Wammalize kisha nitengeneze Fununu kuwa Ugonjwa huo ndiyo Umemmaliza wakati kumbe Kiuhalisia najua fika kuwa Wasaidizi wangu ( hasa Wana Usalama ) ndiyo wamefanikisha kwa Kumuwekea Sumu ya kutoka Urusi.
Baadae sasa naamua Kuteua ( Kumteua ) Mtu wangu mwingine wa karibu pia ila huyu nakuwa na uhakika nae wa Kummudu na isitoshe huwa pia ananisujudia mno ndani ya Himaya yangu ya Chama Cha Makatili Kurithi Mikoba ya niliyemwondoa ( niliyemmaliza ) Kiumafia ili niweze kupitisha Kiurahisi mambo yangu ambayo huyu niliyemteua si tu anayajua bali pia na Yeye nae anawamudu na kuwajua vyema Wanachama mpaka na Mawaziri niliowateua.
Je, nitakuwa nimepatia au nimekosea?