Je, Nafasi za kazi zimeshaanza kutolewa?

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,607
Habari wadau,

Leo nimeona tangazo la ajira mpya kwenye tume ya utumishi kutoka RITA je ndio kusema ajira tayari zimefunguliwa rasmi?
 
Unajuwa baada ya maombi watachukua Muda gani kuitwa kwenye usaili
 
Back
Top Bottom