Je, NACTE wamebadilisha system ya transfer? Naomba ushauri katika hili?

idrissi

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
512
432
Habari wanandugu,

Nije kwenye point moja kwa moja, mimi nilikua nafuatilia uhamisho wangu wa kutoka chuo fulani cha private kwenda chuo cha serikali.

Mimi nilimaliza mwaka wa kwanza na niliscore GPA 3.4 clinical officer nilipoingia mwaka wa pili nilisoma kidogo tu ila nikashindwa kumaliza ile semister maana niliishia kufanya mtihani mmoja tu kisha nikaandika barua ya kusitisha semister.

Barua niliyoandika niliomba nikaanze semister ya kwanza mwaka wa pili na kweli nilipata nafasi kwenye hiko chuo nilichoomba nikaenda chuoni kwangu nao wakanisainia ishu ikabaki NACTE nilipeleka barua ndani ya muda wao wa uhamisho.

Sasa NACTE wameshindwa kunihamisha kwa kudai nina matokeo ya semister ya kwanza siwezi kusoma tena hiyo semister chuo ninachoenda kwa kweli imenishangaza sana nimejaribu kuwaeleza hali ilivyokua lakini hawajanielewa ikanibidi niende chuoni kule nilipokua nasoma kuomba msaada nako nikatoswa muda umeenda na kule kurudi siwezi ada kubwa.

Je, nifanye nini hapo?
 
Hao wamekufanyia uhuni kama barua imesainiwa pande zote mbili yaani chuo unachotoka na unachoenda na wala hudaiwi sup huna inatakiwa wakuhamishe..koma nao hapo hapo ikiwezekana nenda na mtu mzima au mzee wako akawakomalie hivi vyuo binafsi vina hiyo tabia ya kuzuia wanafunzi wao wasihame bila sababu za msingi.
 
Usimshauri mwezio aende chuo cha private wakati amesema anataka kwenda cha serikali...kwanza iko chuo mafinga mbona sikifahamu au kipya? Mimi nafahamu kuna CAPS na Tumaini jipya
jaribu kuwasiliana na chuo cha Muyoge kipo mafinga iringa kinaweza kukusaidia ada na michango 2749000 no cha private na hakina hadhi nzuri
 
Hii ni kweli wanafanya figisu zote hata ikibd kukuharibia ili usiondoke.
Hao wamekufanyia uhuni kama barua imesainiwa pande zote mbili yaani chuo unachotoka na unachoenda na wala hudaiwi sup huna inatakiwa wakuhamishe..koma nao hapo hapo ikiwezekana nenda na mtu mzima au mzee wako akawakomalie hivi vyuo binafsi vina hiyo tabia ya kuzuia wanafunzi wao wasihame bila sababu za msingi.
 
Kwa mujibu wa timetable ya tcu, leo ndio siku ya kutangaza trasfer zilizokuwa confirmed....

Vipi hawajaachia tu!??
 
updates.

Mpka sasa jua linazama na hakuna chochote kinachoendelea... Iyo ndio TCU chombo chetu tunachokiamini
 
jaribu kuwasiliana na chuo cha Muyoge kipo mafinga iringa kinaweza kukusaidia ada na michango 2749000 no cha private na hakina hadhi nzuri
We jamaa hiki ndo chuo ulitaka niende ulitaka iuniingiza shimoni ndugu habari zenu ninazo.
 
M
Habari wanandugu,

Nije kwenye point moja kwa moja, mimi nilikua nafuatilia uhamisho wangu wa kutoka chuo fulani cha private kwenda chuo cha serikali.

Mimi nilimaliza mwaka wa kwanza na niliscore GPA 3.4 clinical officer nilipoingia mwaka wa pili nilisoma kidogo tu ila nikashindwa kumaliza ile semister maana niliishia kufanya mtihani mmoja tu kisha nikaandika barua ya kusitisha semister.

Barua niliyoandika niliomba nikaanze semister ya kwanza mwaka wa pili na kweli nilipata nafasi kwenye hiko chuo nilichoomba nikaenda chuoni kwangu nao wakanisainia ishu ikabaki NACTE nilipeleka barua ndani ya muda wao wa uhamisho.

Sasa NACTE wameshindwa kunihamisha kwa kudai nina matokeo ya semister ya kwanza siwezi kusoma tena hiyo semister chuo ninachoenda kwa kweli imenishangaza sana nimejaribu kuwaeleza hali ilivyokua lakini hawajanielewa ikanibidi niende chuoni kule nilipokua nasoma kuomba msaada nako nikatoswa muda umeenda na kule kurudi siwezi ada kubwa.

Je, nifanye nini hapo?
mkuu natangulia shukran?. Naomba unisaidie jinsi ya kufanya transer nacte. Kuhama chuo na kujiunga na kingine online?
 
Back
Top Bottom