Mwanzi ni kama popo tuSwali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi?
Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea kwenye bustani yangu ya nyumbani.
Na je nawezaje kupata mbegu bora za mianzi ya njano ile minene kabisa...sio ile ya ulanzi ya nyalu land
View attachment 892787!
Hahaha umenikumbusha hayo mabaiolojiko wakati nasoma agriculture O level,nalikumbuka jani liitwalo opuntia na ninini sijui bengalinsisNi nyasi mkuu,
Family: Poaceae
Kingdom: Plantae
Scientific name: Bambuseae
Higher classification: Bambusodae
Subfamily: Bambusoideae
muwa ni tunda mkuuuBOTANISTS WAJE, WATUJIBU
MUWA NI NINI NYASI ?
Swali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi?
Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea kwenye bustani yangu ya nyumbani.
Na je nawezaje kupata mbegu bora za mianzi ya njano ile minene kabisa...sio ile ya ulanzi ya nyalu land
View attachment 892787!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipande karibu na home licha ya hayo madude pia ni makazi mazuri ya nyoka wa kijaniPopo si ndege wala panya! Siku moja utudadavulie nasikia majini yanapenda kuishi kwenye mianzi,nataka niioteshe home nisije nikayafuga.
Dah ile ya kichina ni mikubwa sana hadi inatumika katika ujenzi kama PolesMwanzi ni mti (kitindi) ndio maana sehemu vilipopandwa ukiuziwa ardhi name vyenyewe vina bei yake.
Mimi natafuta mbegu ya Mianzi ya Kichina (Chinese bamboo)
Hapana unaangukia kwenye category ya soft woodsMkuu Mwanzi ni jamii ya miwa maana miwa siyo mti ama jani
Dah ile ya kichina ni mikubwa sana hadi inatumika katika ujenzi kama Poles[/QUOT]
Na pia ni migumu Sana sio Kama hii ya kwetu huku.
Jibu limejitosheleza. Na ni Order 😛oalesNi nyasi mkuu,
Family: Poaceae
Kingdom: Plantae
Scientific name: Bambuseae
Higher classification: Bambusodae
Subfamily: Bambusoideae