Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

mwambie heri nusu shari,kashavumilia vya kutosha atue mzigo sasa wanaume wa mungu wako wengi,,,,huyo akiingia nae kny ndoa ataweka mikono kichwani

Hapo dada kimbia fasta..
Ata mimi nshawai kua na tabia hiyo kwa dem.. Kifupi no love, he have some 1

Na mimi nasema hivi mapenzi sio vitu wala mali bali ni moyo

hey hey hey!dena kuna mahali unamiss kitu,,,tatizo siyo mapenzi ya vitu lkn hebu niambie huyo mwanaume responsibility yake anaionyesha kny nn maana huyo dada tumeona.

Hapo dada kimbia fasta..
Ata mimi nshawai kua na tabia hiyo kwa dem.. Kifupi no love, he have some 1

dah kweli?
kwaiyo ulikuwa umpiu ata sh kumi?
na ulkuwa unamuomba yeye daily?
cm mpk akuanze ....?
tupe swaga ulikuwa unafanyaje?
ili tukion skuingne tujue mhh i ni dalili za malaria

Reactions: PAS
hey hey hey!dena kuna mahali unamiss kitu,,,tatizo siyo mapenzi ya vitu lkn hebu niambie huyo mwanaume responsibility yake anaionyesha kny nn maana huyo dada tumeona.

Kwenda hospital, kumpeleka safari zake. Uliza tena

Kwenda nospital, kumpeleka safari zake. Uliza tena

sema vzuri...kumpeleka safar zake mpk demu atoe ela ya wese ...ivi ata rafik tu wa kawaida una tatizo unamwomba lft na unajua mafuta anayo afu anakuambia weka mafuta ..mh utaendelea?
km hana unajua hana lakin unajua yupo poa ila ndoivo tia mafuta twende wakat we daily wampa tafu...pananoga?

mi sjui lakin ....HAFAI.

Kwenda hospital, kumpeleka safari zake. Uliza tena

kumpeleka safari zake halafu achangie mafuta daily?ni mpenzi dreva tax?kwenda hosp without?utamtofautishaje mpenzi na mtu baki tena stranger?

Anafaa kabisa huyo

hivi rose wanaume watakuwa wameisha?better stay single aisee!nahs dena anauona ukweli lkn ameamua kubisha maana namjua ubishi ni jadi yake

Miaka yote tisa urafiki? Leo ndo anaona kero imezidi? Ana lake jambo huyu. Kuna mtu kamlinganisha na kuona afadhali huyu. Mbona sisi huwa tunatoa kwa gf miaka na miaka wao hawatoi hata kitu na hatulalamiki? Ukiona hasi, jua kuna chanya pia!

hivi rose wanaume watakuwa wameisha?better stay single aisee!nahs dena anauona ukweli lkn ameamua kubisha maana namjua ubishi ni jadi yake

MI NASHNDWA KUELEWA
cz dena najua ni kichwa anajua A -Z ya kitu sasa leo kujifanya amesahau akil zake bafun wakat anaoga mi achoka kabsa:bored::bored:

hivi rose wanaume watakuwa wameisha?better stay single aisee!nahs dena anauona ukweli lkn ameamua kubisha maana namjua ubishi ni jadi yake

Bahati mbaya simu yangu haionyeahi batani ya thanks ningekugongea

Labda valuu zimefika mahala pake

MI NASHNDWA KUELEWA
cz dena najua ni kichwa anajua A -Z ya kitu sasa leo kujifanya amesahau akil zake bafun wakat anaoga mi achoka kabsa:bored::bored:

ili ujue kuwa tuko nae kundi moja hebu msome hapo juu,,,,mi naona huyu dada ana ile love is blind i wish ningemuona nimtunuku

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…