Je mwanaume kumiliki kahawara kamoja tu ni ulofa?

Huyu jamaa anasema eti una miliki hawara kumi na sita na bado unatamani wake,wachumba na mabinti za watu,ndio nikaja kukuuliza hizi tuhuma za kweli??
Uwe unatoa na muhtasari basi, maana tuna mambo mengi yenye tija kwa taifa.

Kwa mfano hapa mnajadili nini??
 
Huyu jamaa anasema eti una miliki hawara kumi na sita na bado unatamani wake,wachumba na mabinti za watu,ndio nikaja kukuuliza hizi tuhuma za kweli??
Kwahiyo ameamua kunipunguzia idadi. Kweli hana adabu...

Achana naye.
 
Eti jamani, kwa jinsi dunia hii ilivyobarikiwa wanawake wazuri na wengine wanaendelea kuzaliwa kilasiku, wenye misambwanda ya hatari na super mtindiz (kama asemavyo mdingi le mutuz) je ni sahihi kwa mwanaume kumiliki mzigo mmoja tu? Kwa upande wangu mimi naona dhambi kwa Mungu sijui wenzangu
View attachment 479218
Aiseh hiyo picha yako tu, sijafatilia ulikua unaongelea nini vire!?
 
Ni vizuri ukamiliki mwanamke mmoja tu ili upate wigo mkubwa zaidi wa kumtunza...
 
Back
Top Bottom