haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,476
- 3,538
Binafsi sielewi,
Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.
Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.
Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.
Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.
Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.
Swali!
Handsome anasifa zipi?
Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?
Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.

kuku aliechinjwa jo'burg wiki iliyopita...aisee