Je, mwanaume handsome anasifa zipi?

Je, mwanaume handsome anasifa zipi?

Binafsi sielewi,

Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.

Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.

Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.

Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.

Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.

Swali!

Handsome anasifa zipi?

Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?

View attachment 639444

Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.
Kama kucha zenyewe ndio hizo tena umezipaka na rangi nina wasiwasi na we we aisee
 
Hivi inawezekanaje mwanaume ajisifu kuwa ww ni handsome?
 
Binafsi sielewi,

Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.

Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.

Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.

Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.

Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.

Swali!

Handsome anasifa zipi?

Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?

View attachment 639444

Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.
yaan mividole hiyo ndo vizuri?
wacha ushoga boya ww
 
Hata Dr Louis Kid alipepewa siku ile ya mnada na vitoto vya sijui Yono au TRA wale
 
kwani we upo nchi gani? Huku kwetu pesa,gari na suti inatosha unaweza hata ukabakwa na wadada.
Hapa patamu sana.
Huwa najiulizaga hivi wanaume tu ndio wanabaka? maana sijawahi kusikia kesi ya mwanamke kumbaka mwanaume
 
Binafsi sielewi,

Mbali na kukosa hela na kutokua na pamba kali, nimekua nikipokea attention za ajabu kwenye watu wengi.

Wadada walonizidi, watu wazima na wake za watu wakifunguka kunitaka wazi wazi na kuhongwa, nikikataa wanasema naringa na sijiamini.

Walevel zangu nikiwafata hunikataa kwa madai nimuongo siko single. Yupo alowahi niambia mimi mzuri ila nisiringe.

Wapo walionisifia kwa macho, wengine nywele za kisomali, wengine lips, wengine kifua na vitu kibao tofauti.

Waajabu ni wanne walozimika na vidole vya mikono mpaka vikawadoloa.
ila wengi huniogopa kudhani ni player kumbe no.

Swali!

Handsome anasifa zipi?

Kwanini wadada mnaogopa wakaka wenye muonekano mzuri?

View attachment 639444

Bila kusahau bado sina kazi naganga njaa, mana siamini katika msingi kiuno.
Muukize dr.shika akwambie uhandsome kautoa wapi cku hizi....
 
Ukiwa single huna pesa huna pamba single wenzako utawasikia tu

Wewe utapendwa na wale wasioyaka pesa sana nia yao ni sherehe tu

Na hao si wengine Bali ni

Wake za watu
Single mum
Wanasake wanaokuzidi umri sana
Wengine utamalizia
 
Mbona km umeweka vidole vya dada yako
 
Ukiwa single huna pesa huna pamba single wenzako utawasikia tu

Wewe utapendwa na wale wasioyaka pesa sana nia yao ni sherehe tu

Na hao si wengine Bali ni

Wake za watu
Single mum
Wanasake wanaokuzidi umri sana
Wengine utamalizia
Ni wa5u na wadhfa wao jamaa angu
 
Back
Top Bottom