Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Habari wakuu,
Eti mwanaume anaehonga ndie mwanaume rijali kwa kuwa ana sifa ya kutafuta na kutumia? Eti mwanaume anaehonga ndio mwanaume anaekonga nyoyo za kidada na kina mama kwa sana?
Je mwanaume asipohonga amepungukiwa kitu? wakuu tujadili ili tuelimishane ili kama vp na mimi nianze kuhonga.
Binafsi sijawahi kuhonga, ila nimeumizwa kwa kutendo cha kuendelea kuwaita watoto wazuri shemeji kwa kuwa tu sihongi, ndio maana nataka ushauri, .
hilo neno kuhonga
linaonekana sio la heshima zaidi,pengine ungelibadili na kusema
mwanamme bila kuhudumia hajakamilika?otherwise usipende kula bila
kulipa
hahahahaha badili kwanza id yako hiyo inakuharibia ujue
PAPAA JIWE, si unajua jiwe ni gumu, likikupiga lazima usikilizie maumivu, kiukweli naumizwa sana na huu mfumo wa sasa hivi wa kuhonga kwani unatunyanyapaa sisi wengine.
yap unajuaje hata mpokeaji anamendea hicho unachomhonga na upendo kwako hana
usijipe tabu tafuta wa level yako ustake matawi ya juu wakati kukwea huwezi
hahahahaha badili kwanza id yako hiyo inakuharibia ujue
Ajabu nini mimi kimuhonga
demu simu wakati kina Bakresa wanahonga hadi meli. Me siogopi kuitwa
buzi ilimradi anaeniita awe classic. Sio unaitwa buzi na demu sura ka
anakamuliwa jipu
Inategemea na type ya
mademu unao fukuzia mfano mm,kabla ya kustaafu mademu zangwalikuwa
watoto wa geti2 yan kazi yako kumpa mavitu ya kupagawisha dose mwanzo
mwisho mpaka anataman kuhama kwao ukimkataza kuja kwa gheto Analia afu
anakuonga yy mpak unaona aibu mtoto wa kiume
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hawa watoto wazuri wengi sio matawi ya juu wala nn, ndio maana wanataka kuhongwa.
Miss neddy kitambo no chat...niaje?
Ajabu nini mimi kimuhonga demu simu wakati kina Bakresa wanahonga hadi meli. Me siogopi kuitwa buzi ilimradi anaeniita awe classic. Sio unaitwa buzi na demu sura ka anakamuliwa jipu
kila anaehongwa ana kima chake hakuna asietaka kuhongwa
Duh! we cha kwako kikoje?
Nilihamia mtaa mmoja Magomeni. mwanamke wa kwanza aliye jilengesha nilimpa laki na nusu. akanitangaza nikaona mtaa mzima wananichekea. kaja wa pili nikatoa laki. wa tatu laki. baada ya mwezi nikawa nimewafyeka kumi na tatu. Nikahama uhofia waume zao wasije wakanitoa roho.