PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 866
- 151
Mada nyingine ni majanga tu.kuhonga mpaka tujadili? Huo ni utashi binafs na uwezo wa mtu
Mi wananiita kimwaga kwa
jinc ninavyohonga ndo maana ndo maana napewa majina mengi tu ya kusifiwa
na nikitongoza huwa ckoc kwa hiyo anza tu kuhonga
Nilisikia jamaa wanasema
ukitaka mwanamke akupende ,we muhonge tyuu uone jinsi utakavyomkonga
roho lakini hili lisifanyike nje ya mipaka ya tanzania
Women are different, sio wote utawapata kwa kuwahonga.. Mwingine akijua ulisoma UK tayari ushampata na asiguse hata jero yako. Mwingine akijua mission town zako zinavuka mipaka ya Africa tayari ushamnyaka, na usimrushie vocha hata siku moja.
Habari wakuu,
Eti mwanaume anaehonga ndie mwanaume rijali kwa kuwa ana sifa ya kutafuta na kutumia? Eti mwanaume anaehonga ndio mwanaume anaekonga nyoyo za kidada na kina mama kwa sana?
Je mwanaume asipohonga amepungukiwa kitu? wakuu tujadili ili tuelimishane ili kama vp na mimi nianze kuhonga.
Ukiwa kimwaagae unaitwa
-----. ukibana matumizi unaitwa mkono wa birika. Anaejua mapenzi hawezi
kunilaumu. mimi kukupa nilicho nacho ni kwa kua nakupenda.
Kwanza neno @Kuhonga maanayake nini?
Tuanze na hapo kwanza
ndiyo maana yake kuonga mwisho mpakani,ukiishaingia nchi za watu wanaangalia sana upendo kuliko uhongaji tofauti na hapa kwetu bila kuhongwa hujaeleweka kabisa.kuhusu kumuhonga mke halali wa ndoa inawezekana kabisa japo huwa inapunguzwa makali na kuitwa kuhudumia mama watotoMkuu unamaanisha kuhonga mwisho mpakani? Nje ya nchi hakuna kuhonga?
Vp mkuu naskia hata mume anaweza kumhonga mke wake halali wa ndoa kwa maisha ya sasa?
Tumia ile maana iliyozoeleka bongo. "kutumia pesa au kitu kingine chochote cha thamani kumshawishi mwanamke"
Okay, kama ndiyo hiyo tafsiri. Basi kuhonga sio urijali, sio ushawishi, sio kutata kupendwa and act.
Kuhonga ni UTASHI
ndiyo maana yake kuonga
mwisho mpakani,ukiishaingia nchi za watu wanaangalia sana upendo kuliko
uhongaji tofauti na hapa kwetu bila kuhongwa hujaeleweka kabisa.kuhusu
kumuhonga mke halali wa ndoa inawezekana kabisa japo huwa inapunguzwa
makali na kuitwa kuhudumia mama watoto