Je mwanao anahitaji msaada?

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
kwa wenye kuhitaji msaada wa hisabati kwa syllubus ya Tanzania na Cambridge piga 0717058288[kwa waliopo dar es salaam tu]
 
Wewe sidhani kama unamsaada,waalimu wa hesabu hawajitangazi wanafunzi wanawajua kwa matunda yao.au mmefikia hatua ya kuigeuza elimu ni kama uganga wa kienyeji?
 
Wewe sidhani kama unamsaada,waalimu wa hesabu hawajitangazi wanafunzi wanawajua kwa matunda yao.au mmefikia hatua ya kuigeuza elimu ni kama uganga wa kienyeji?

ha ha ha haa,sangarara sangaraa:nilikuwa mkoani ndo nimekuja mujini bana
 
Back
Top Bottom