Je mwanamke wa style Hii anafaa kuoa

Je mwanamke wa style Hii anafaa kuoa

Kweli ndiyo maana kufika tu chumban anaanza kuhesabu vitu vitu kuangalia mapazia , nguo,mala anatoa kasolo kibao wakati yeye ni mgen , angesubili angalau ata week ipite awe mwenyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndiyo Wanawake tulionao kizazi hiki, cha muhimu endelea kumwomba tu Mungu bila kukata tamaa Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi kwa sasa wapo kuangalia masilahi zaidi hujifanya kupenda mtu pale unapokuwa na uwezo, Huyo sio wa kuoa haiwezekani kwa Mara ya kwanza anakuja kukukagua Kuna wife na wife material Ilo lipo Muombe! Mungu akupe wa kufanana na wewe bila Mungu lazima ushindwe kupata Mke wa kweli
 
Mkos gani? Mimi nilivyo msoma nimeona amekuja kwa lengo la kujua kwenye geto langu kuna vitu gani, alitegemea atakuta home theater, Flat screen , friji, kabet la manyoya fen, kitanda 6×6 , sasa alivyo tarajia kakuta tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwa kifupi huyo harudi tena, mtoa mada ametathminiwa na kukutwa ana life bovu sana!

Yani mtoto alipiga hesabu za dstv na nchi 55 za LG ukutani, hometheatre ya maana,kapet manyoya na tanda la 6*6 ila maskini kakuta tv ya chogo, antena ya kidole dirishani, godoro ulimi wa ng'ombe, cieling board full ramani ukijumlisha na joto kali uswahilini matusi aliotukana kimoyomoyo nayahifadhi!

Ayo maswali ya kinafiki tu ila hali ndio kama hivyo! Kimsingi jitahidi upige kabisa maana akitoka harudi tena, kama akirudi hapo huyo demu nakulipia tiketi ya taifa stars ukacheki gemu bure.
 
Anaangalia mazingira maana leo na kesho watakuja rafiki zake au ndugu wasione kaingia chaka au hayupo sehemu nzuri

wali nazi maharage nazi
 
Hahaha kwa kifupi huyo harudi tena, mtoa mada ametathminiwa na kukutwa ana life bovu sana!

Yani mtoto alipiga hesabu za dstv na nchi 55 za LG ukutani, hometheatre ya maana,kapet manyoya na tanda la 6*6 ila maskini kakuta tv ya chogo, antena ya kidole dirishani, godoro ulimi wa ng'ombe, cieling board full ramani ukijumlisha na joto kali uswahilini matusi aliotukana kimoyomoyo nayahifadhi!

Ayo maswali ya kinafiki tu ila hali ndio kama hivyo! Kimsingi jitahidi upige kabisa maana akitoka harudi tena, kama akirudi hapo huyo demu nakulipia tiketi ya taifa stars ukacheki gemu bure.
hahaa always when i meet your comment my day become good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dem nilimtongoza akakubali , akaniamba anataka kuja kupaona ninapoishi nikamwambia usijar utapajua, siku niliyokuwa free nikamuelekeza getto akaja chakushangaa Nashangaa anaaza kuchunguza chumba changu na nikaona kamanipo kwenye usaili , yan mgen mala yakwanza unaanza kuchambua pazia, nguo zangu vyombo mbaka Leo uyu bint sija muelewa alikuja kunipeleleza Nina vitu vya saman kias gan ili ajilinganishe na vitu vyake? Na Mimi Nina godoro na baskel na akauliza baskel yanan du uyu kwe dem anafahaa kuweka ndani kwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee huyo alikuja kukuchora achana nae kabisa
 
Kwani wewe ulivyomtongoza ulimwambia untaka kumuoa palepale??

Huenda ana nia njema tu.
 
Back
Top Bottom